Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
Wanawake wengine akili zao ni 1-1.
Kama ni hivyo straight wife wako siyo muaminifu ana makando kando yake.Bora 1-1... yani ni 0-0.
Lakini wife wangu yupo poa na nampenda sana... Lakini ndio nimeshindwa kabisa kumuelewa kwenye hili.
hujambo Husn?
Mbona kinamama mnajikandia tena wenyewe?mimi natupiwa mawe na kina Aspirin kwa kuwakingia kifua ati!
Stand together bana iwe in rain or sunshine!
Katika hali kama hii kosa langu lipo wapi. Mimi ndio ungekuwa msimamo wangu huo, nisingeweza kumwambia uongo na hata hivyo ilikuwa tunapiga story tu.
Au ningemdanganya tu kumridhisha!!. Lipi sahihi!!.
Jifunze kuto ku compare ndoa yako na story za magazeti hata success au failure za ndoa nyingine. Hata mimi ningekasirika. Chagua mazungumzo uwapo na wife.
Story nyingine ziishie kwa washkaji.
Ni sawa na mkeo angekwambia "mimi mwanaume anijie saa nane za usiku nikae nasubiri nini? nadai talaka tu" Hata kama wewe ni wa kuja saa kumi na mbili jioni lazima unge mind.
Ukiona hivyo mke wako alikuwa na plan ya kufanya kama Irene, sasa ume pre-empty her plans> Usimbembeleze, wewe mwache, mwambie huo ndio msimamo kwako na kama kuna siku atafanya hivyo ajue ndio basi
Umeoa au umeolewa?
Chunguza nyenendo za mkeo, kisha kuchoka hivyo.
Kama unabisha mwambie akiendelea kuuchuna unamwacha, uone atakavyo furahi kuachana nawe.
Mkuu no doubt kwamba mkeo anakupenda sana na hafikirii kuachana na wewe. Mwombe msamaha kiukweli ulikosea. Unapoongea na my wife kuwa makini sana katika kuchangia. Mfano ungeweza kumjibu 'wewe mke wangu ulivyo na hekima huwezi kufanya hivyo'.
NK nafikiri kucompare na ndoa zingine ni vizuri ili kujifunza namna wenzenu wanafanikiwa katika maisha yao ya ndoa na kama wanafail na nyie msije mkafanya yanayowafanya wafail.
Jamaa alichokifanya nafikiri ni namna nyingine ya kufikisha ujumbe kwa mkewe kwamba usifanye hiki. Hata huo mfano uliotoa ni namna nyingine ya kusema "usirudi sa nane za usiku". Sasa kama mwanaume anarudi sa kumi na mbili hapo ingebidi afurahi maana anajua katika hilo hana kosa.
Mfano big x angesema "mke wangu ungetoa kauli kama za irene uwoya nisingefurahia hata kidogo". Hapo hajasema kama angetoa talaka au la, je huyo mke angekasirika?
Dah! Mkeo anadeka sana eeh? Mi nadhani angenuna kidogo tu ile kustua then baadae akabatasamu lol!!!
Mbona mnanitisha na kuniongezea hasira hivyo.
Hilo sio kweli. Mke wangu najua ananipenda sana kuliko, hawezi fanya hivyo, na yeye anajua nampenda sana. Nadhani ni vile hakutegemea maneno kama hayo kutoka kwenye kinywa changu.
Nilikuwa najaribu kumbembeleza lakini nilikuwa naona kama vile namuongezea hasira. Nimeamua kumuacha mpaka hasira zake ziishe.
mume ***** wewe,mwenzio ndikumana nae alianzishiwa hivi hivi akawa anakataa kama ww,Mbona mnanitisha na kuniongezea hasira hivyo.
Hilo sio kweli. Mke wangu najua ananipenda sana kuliko, hawezi fanya hivyo, na yeye anajua nampe
nda sana. Nadhani ni vile hakutegemea maneno kama hayo kutoka kwenye kinywa changu.
Nilikuwa najaribu kumbembeleza lakini nilikuwa naona kama vile namuongezea hasira. Nimeamua kumuacha mpaka hasira zake ziishe.