Sasa hawa wote ni wadau, km Dulvan alikua anashaukwa kwa kiba, wee Noel alilalama siku hiyo chimbooo wachaa amchambe had dulvan Ali log out. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata dulivan na jaymond nishawah muona jaymond Amekaa kigay
Naona sasa hivi ana mzungu
Sasa hawa wote ni wadau, km Dulvan alikua anashaukwa kwa kiba, wee Noel alilalama siku hiyo chimbooo wachaa amchambe had dulvan Ali log out. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakianza kuchambana aggrey na james delicious unachekaa had tumbo linaumaaa, hutaman hukose pesa ya kulipia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu naona baada ya sponsor wake kumpeleka Dubengaa aliporudi ndo kaamua kujiweka wazi live, naona trip ime mlevyaa mnoooIla rubein kalegea [emoji23][emoji23]
Wako ugly
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu naona baada ya sponsor wake kumpeleka Dubengaa aliporudi ndo kaamua kujiweka wazi live, naona trip ime mlevyaa mnooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachat nae tsup shangaziii, yuko zake [emoji629] hataki stress na mtu.Dayon kapatana na rich ila rich taahira kabisa,nampenda Chokuu hunichekesha sana akisema shangazi chungeni mabwana zetu mwizi nakujaa hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema gays wako Royal, ila umbea na udakuuu ndo wamejaliwaaaa. UwiiiiihSikuona banaaa
Mi nna rafiki gay basi huwa anajikaza ila akilewa anajiachia anaanza na kutongoza yeye ni mzurii ila ukimuona tu unajua ni gay,siku moja nikamuuliza una hisia za wanawake au wanaume akajibu eti hana hisia na jinsia zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni msiri hajawah nisimulia mambo yake siku hizi hayupo kahamia Dar
Lile kundi maarufu la kataa ndoa ndio hawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachat nae tsup shangaziii, yuko zake [emoji629] hataki stress na mtu.
Afu mie yule nlimjua triller, kuna movie ya Gays episode zilikua zinarushwaa ndo nkamuona, sasa nkawa na comments San kumsifia ndo akaja dm tukapeana no.
Tik tok namuonaaa nlichekaaa had baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema gays wako Royal, ila umbea na udakuuu ndo wamejaliwaaaa. Uwiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan walikoboanaaaa lol.Chokuu anachekesha sana kuna kipindi alikuwa anaingia live kavaa dera na wigi na mwiko anaongea jamanijamani kipindi hicho walikuwa marafiki wote james,dayon,richiusa,chokuu kisura wa mbeya,wakiingia live utacheka mnoo
Si wakaja kukosana wakagawanyika james akawa na dayon,richie akawa na chokuu na kisura,chokuu anawachonganisha richi na dayon,chokuu anachamba jamani,richi taahira yeye akichochewa tu huyooo akianza kukatika anatuonesha hadi dudu yake kubwaa,alikuja dar eti akamla kisura [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kongoleee kwakeee.Hata huyo ni mbeyaaa ukimpa kazi ya kufatilia kitu anakuja kukupa ubuyu woteee,mkianza ongea mnaweza kesha anachekesha huyoo
Mkuu huyo kwenye avatar ni wewe?Yaan anaonesha kabisa kuwa ni [emoji304]
Hawa vijana smart smart hawa ndo mitikasi yao
Wee nick hebu unikomeeee, kuachwa kwako na kubambikwa mtoto, hasira usiletee kwangu, huu uzi nimeleta mie?? Unawashwaa eeeeh??Mods wanamlea sana huyu cocastic, story gani hizo anaandika alafu mpo kimya. Thread imeshajaa machoko
Siku hizi tumetoka kwenye kuita watu kua wao ni Freemason,
Sasa hivi tumehamia kwenye kuita watu mashoga!
We nae ni wale waleAcha kufuatilia maisha ya watu kama MAUMIVU anayapata yeye wewe unaumiaje?
Ushoga na LGBTQ+ kiujumla ni agenda kubwa mno ya kifreemason kama ulikuwa hujuiSiku hizi tumetoka kwenye kuita watu kua wao ni Freemason,
Sasa hivi tumehamia kwenye kuita watu mashoga!
Mzuri si ndiyo mrembo mwenyewe?Sijui Kama Ni shoga,Ila najua anapendaga kujisifu yeye Ni mzuri......tukemee watoto wetu wa kiume kujiita wazuri