Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Lazima ana KADI ya CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38] bichwa komwee mbona umekuwa na fujo hivi siku hizi??!
Kipindi cha Magufuli si ndio Makonda alianzisha operation ya kusaka mashoga, Magufuli akamzuia?Hawa ni wa kufinya kimya kimya. Basi tu sina uwezo huo. Nyakati hizi ambapo ushoga ni kitu cha kawaida.
Hivi mnakumbuka enzi za jpm hawa wapuuzi walikuwa hawajitangazi? Embu niambie ni watu wangapi wanamfollow?
Hivi ikipita ka operation tokomeza mashoga na wasagaji si inaweza kusaidia.
Mimi naumia sababu nilimuona mtoto mdogo wa kiume amelawitiwa nyie ungetoa machozi.
Asante sana jeshi la polisi walimkamata muhusika yupo ndani.
Maskini kizazi kijacho!!!
Kuwa makini madume hayo... au ni jinsia tata ohoooMkuu huyo kwenye avatar ni wewe?
Sijui Kama Ni shoga,Ila najua anapendaga kujisifu yeye Ni mzuri......tukemee watoto wetu wa kiume kujiita wazuri
Uyo ni shoga ata uzungumzaji wake tu nyie hamuoni ,Kuna comedians Kenya na bongo ni mashoga sema yanajificha Kwa kuvaa character za kike mf dullvan like kwenye kuigiza,ata ommy dimpoz ni suala la muda tuSKENDO CHAFU YAMTAFUNA HAKIKA RUBEN, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAMTAKA AREJEE KWA MUNGU.
Mitandao ya kijamii imeibuka kwa kasi nchini Tanzania na imechukua sura mpya kwa watu tofauti ambapo wapo wanaoichukulia kama fulsa ya kujipatia kipato kwa kuuza na kuzitangaza kazi zao, wapo wanaoitumia kama sehemu ya starehe kutuliza mawazo yao lakini pia imekuwa ni darasa huru kwa kila Mtanzania kwani kwa kuzingatia sheria tu unaweza kufanya chochote isipokuwa usivuke mipaka.
Hakika Ruben kutoka Iringa ni miongoni mwa wachekeshaji ambao walianza vizuri na mpaka sasa wanafanya vizuri, kutokana na aina yake ya uchekeshaji amejikuta anakuwa kivutio kwa watu wengi na kujipatia mashabiki rukuki, ambapo kwenye mtandao wake wa Instagram bado kidogo akifikishe wafwasi milioni moja, hii inaonyesha ni kwa kiasi gani jamii inamkubali.
Lakini tangu wiki hii ianze kumekuwa na video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha Hakika akiwa live na wenzake kwenye mtandao wa TikTok ambapo kuna maneno yasiyo na hekima alikuwa anayaongea, kwenye maneno hayo alikuwa anajitambulisha kama mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja kwa kumgombania mwanaume mwenzao yeye na mwenzake.
Kutokana na CV ya Hakika na heshima kubwa aliyoitengeneza Watanzania wengi wameonyesha kuchukizwa na kitendo hicho cha kishetani huku wengi wakimtukana na kumtaka arejee kwa Mungu wake aombe msamaha. Yote tisa, kumi mjadala huo umefika hadi nchini Kenya ambapo baadhi ya Wanahabari wameonyesha kukemea kitendo hicho na kuwaasa wazazi kuwaweka mbali watoto wao na mtandao wa Tiktok kwani si salama kwa watoto maana umekuwa kama uwanja wa kuhamasisha na kujifunza ngono.
Hata hivyo licha ya kuitwa Polisi, Hakika mwenyewe ameonyesha kutokujali kwani licha ya watu kumuomba abadirike bado ameendelea kuposti video za kujitangaza zaidi kuwa ni muhusika wa mambo hayo huku akifunga sehemu ya komenti kuwazuia watu wasiandike chochote.
View attachment 2544036
🤔🤭🙌🙌🙌Tangu siku ya kwanza naona clip yake kuna kundi fulani nikawaambia watu huyu jamaa ana ushoga na lazima analiwa...
Watanzania hamna exposure ya mambo mengi, ila kuna wasanii na watu maarufu wengi sana ni mashoga, nivile hamuwez kusoma matendo yao, ongea yao na ishara zao...
Acheni kufuatilia ishu zisizo wahusuKama kaamua awe shoga, wewe unaumia ukiwa wapi?