Skents aka Diamond's fake manager

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Dogo kiukweli anajua na juhudi na kujituma Vizuri sana. Tatizo ni huyu sk sijui salam Ngoja kwanza ntawaekea ig yake muone utumbo Wake anaandika kuhusu show ya jana Ya tigo kiboko yao.

Huyu mwarabu fake sijui njaa upambe m'baya jamani. .hivi kweli manager ana behave hivi..huyu ndo Anatakiwa kumwongoza artist lakini yeye ndo Mburula
.
 
Mwarabuu? Mmmh! Embu ngojaa wajee wana wa IG ndio watatueleza ukweliii
 

Salaam kaeleza ukweli wa kilichotokea, mlitaka baadae mtengeneze story mgeuze mambo ili iwe too late ukweli kueleweka si ndio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…