Dogo kiukweli anajua na juhudi na kujituma Vizuri sana. Tatizo ni huyu sk sijui salam Ngoja kwanza ntawaekea ig yake muone utumbo Wake anaandika kuhusu show ya jana Ya tigo kiboko yao.
Huyu mwarabu fake sijui njaa upambe m'baya jamani. .hivi kweli manager ana behave hivi..huyu ndo Anatakiwa kumwongoza artist lakini yeye ndo Mburula.