habari zenu wanajamii?Naomba mnisaidie ktk hili,je naweza kuandika kwenye CV yangu ujuzi/elimu ambayo ninayo ila sina cheti kwa sababu ya kututolewa ktk taasisi husika mfano kufundisha temporary ktk shuke ya kata na sikupewa certificate of appreciation?Natanguliza shukurani zangu kwenu.