Skills to include in cv

Skills to include in cv

mbalamula

Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
23
Reaction score
5
habari zenu wanajamii?Naomba mnisaidie ktk hili,je naweza kuandika kwenye CV yangu ujuzi/elimu ambayo ninayo ila sina cheti kwa sababu ya kututolewa ktk taasisi husika mfano kufundisha temporary ktk shuke ya kata na sikupewa certificate of appreciation?Natanguliza shukurani zangu kwenu.
 
weka tu wakikuuliza just in case kwenye interview unajustify tu .. kitu ulichofanya hata mtu akubane vipi unaweza kukitetea..mfano practical training/field hupewi cheti ila ujuzi uliopata unauweka..
maoni yangu ni hayo asante..
 
Nashukuru na asante sana,Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom