Wapendwa wana JF, nasikia ati kuna vidonge unakunywa na rangi ya ngozi yako inapata mng'ao wa kupendeza. Je kama ni kweli vipo hivi vidonge, naomba jina lake na kwa hapo Dar labda pharmacy ipi naweza kuvipata, au labda dukani wapi?
Please, am serious, no jokes
mi nafkiri cha muhimu ni lishe nzuri....kula matunda na maji kwa wingi sana. Or get urself some high class supplements (matunda na lishe kamili zilizowekwa kwa mfumo wa vidonge) eg. kuna supplements nazitumia mimi 1 pearl=5 carrots na 1 pearl= 5 Onions, 1 pearl=10 cucumbers (matango) na vingine vingi....Nakunywa mara 3 kwa siku. Huu mwaka wa 3 hospital sizijui !!! U decide for urself. The supplements are proven and used in 150 countries worldwide. Private me for more info, well kama uko interested.
Hizi chakula bora....fruits, veggies nk vyote nakula pamoja na daily multivitamins, minerals supplements na antioxidants zote napata hilo sio tatizo. Tatizo nitaka kidonge kama kipo cha kufanya ngozi yangu itakate... ipate mng'ao
We Futota, Mungu amekupatia nchi yenye matunda ya aina mbali mbali huajridhika nayo mpaka unakaribisha cancer mwilini mwako !!!! kula matunda utaona mwili wako uanvyokuwa soft bila gharama na hatari ya kansa.
Hizi chakula bora....fruits, veggies nk vyote nakula pamoja na daily multivitamins, minerals supplements na antioxidants zote napata hilo sio tatizo. Tatizo nitaka kidonge kama kipo cha kufanya ngozi yangu itakate... ipate mng'ao
Sio kweli unless hayo ma supplement unayotumia wewe hayaja zibitishwa International Science Council, Kosher rating na hazina scientific seal of approval.....unajilia masumu tu mwilini mwako. Supplement nazotumia mimi zimezibitishwa na myahudi (myahudi akishadhibitisha kitu we tumia usiulize mara mbili ).......nakushauri fanya uchunguzi wa kina wa hizo products kabla hujatumia usipokua makini utakuja mwaga kilio siku za usoni !!! Most companies wako ki biashara zaidi so watch out !!!!