Skin lightening pills/tablets....Sio Mkorogo

Futota

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
521
Reaction score
88
Wapendwa wana JF, nasikia ati kuna vidonge unakunywa na rangi ya ngozi yako inapata mng'ao wa kupendeza. Je kama ni kweli vipo hivi vidonge, naomba jina lake na kwa hapo Dar labda pharmacy ipi naweza kuvipata, au labda dukani wapi?
Please, am serious, no jokes
 
Light/"white" skin!? Wanaume mnaopenda wadada 'weupe' kazi mnayo!
 
Me naona uanze kwanza kuuliza madhara na faida zake. Au unazijua?
 
jipende kama ulivyo. magoti na joints yatabaki meusi uh.. kama nyani vile, basi yachefsha!!
 
Wapendwa wana JF, nasikia ati kuna vidonge unakunywa na rangi ya ngozi yako inapata mng'ao wa kupendeza. Je kama ni kweli vipo hivi vidonge, naomba jina lake na kwa hapo Dar labda pharmacy ipi naweza kuvipata, au labda dukani wapi?
Please, am serious, no jokes

mi nafkiri cha muhimu ni lishe nzuri....kula matunda na maji kwa wingi sana. Or get urself some high class supplements (matunda na lishe kamili zilizowekwa kwa mfumo wa vidonge) eg. kuna supplements nazitumia mimi 1 pearl=5 carrots na 1 pearl= 5 Onions, 1 pearl=10 cucumbers (matango) na vingine vingi....Nakunywa mara 3 kwa siku. Huu mwaka wa 3 hospital sizijui !!! U decide for urself. The supplements are proven and used in 150 countries worldwide. Private me for more info, well kama uko interested.
 
OBAGI, hiyo ni hydroquinone cream, unaipaka kwenye ngozi mimi hiyo naifahamu.
Sitaki creams/ointments/mikorogo. Mimi naulizia kuhusu vidonge.

unataka "OBAGI"? mange kimavi anawaharibu sana
 
Hizi chakula bora....fruits, veggies nk vyote nakula pamoja na daily multivitamins, minerals supplements na antioxidants zote napata hilo sio tatizo. Tatizo nitaka kidonge kama kipo cha kufanya ngozi yangu itakate... ipate mng'ao

mi nafkiri cha muhimu ni lishe nzuri....kula matunda na maji kwa wingi sana. Or get urself some high class supplements (matunda na lishe kamili zilizowekwa kwa mfumo wa vidonge) eg. kuna supplements nazitumia mimi 1 pearl=5 carrots na 1 pearl= 5 Onions, 1 pearl=10 cucumbers (matango) na vingine vingi....Nakunywa mara 3 kwa siku. Huu mwaka wa 3 hospital sizijui !!! U decide for urself. The supplements are proven and used in 150 countries worldwide. Private me for more info, well kama uko interested.
 
We Futota, Mungu amekupatia nchi yenye matunda ya aina mbali mbali huajridhika nayo mpaka unakaribisha cancer mwilini mwako !!!! kula matunda utaona mwili wako uanvyokuwa soft bila gharama na hatari ya kansa.
 
Hizi chakula bora....fruits, veggies nk vyote nakula pamoja na daily multivitamins, minerals supplements na antioxidants zote napata hilo sio tatizo. Tatizo nitaka kidonge kama kipo cha kufanya ngozi yangu itakate... ipate mng'ao

Umekula kwa muda gani ? sio suala la mweizi mmoja. Kama unakula vyote hivyo bado hakuna mng'ao, kuna kitu unataka kuficha !!!!
 
Kama unafahamu kuna vidonge na vinapatikana wapi hapo Dar niambie, suala ni hilo tu hapa

Umekula kwa muda gani ? sio suala la mweizi mmoja. Kama unakula vyote hivyo bado hakuna mng'ao, kuna kitu unataka kuficha !!!!
 
Kuhusu cancer na sababu zake hadi leo wataalamu na wanasayansi bado wanafanya tafiti kujua chanzo chake nini hasa. Na hawajafahamu sana sana wanatoa risk factors, related factors, protective factors etc.
Nachosema wewe hapo ulipo huwezi kujua kama utapata cancer au sivyo.

We Futota, Mungu amekupatia nchi yenye matunda ya aina mbali mbali huajridhika nayo mpaka unakaribisha cancer mwilini mwako !!!! kula matunda utaona mwili wako uanvyokuwa soft bila gharama na hatari ya kansa.
 
Futota, mng'ao wa ngozi hauletwi na vidonge. Vipi unataka kuwa Mwaarabu wa "nkebe"?
 
Hizi chakula bora....fruits, veggies nk vyote nakula pamoja na daily multivitamins, minerals supplements na antioxidants zote napata hilo sio tatizo. Tatizo nitaka kidonge kama kipo cha kufanya ngozi yangu itakate... ipate mng'ao

Sio kweli unless hayo ma supplement unayotumia wewe hayaja zibitishwa International Science Council, Kosher rating na hazina scientific seal of approval.....unajilia masumu tu mwilini mwako. Supplement nazotumia mimi zimezibitishwa na myahudi (myahudi akishadhibitisha kitu we tumia usiulize mara mbili ).......nakushauri fanya uchunguzi wa kina wa hizo products kabla hujatumia usipokua makini utakuja mwaga kilio siku za usoni !!! Most companies wako ki biashara zaidi so watch out !!!!
 
Basi sema jina la hizo supplements unazotumia wewe na ukazikubali kuwa zinafanya kazi kwenye ngozi yako. Mimi nachoomba ni testimonials kutoka kwa watu kama wewe waliowahi kutumia vidonge fulani.
Hilo tu ndo nahitaji, jina kama ni vidonge au pills au tablets zenye supplements fulani.
Sihitaji dose ya michanganyiko ya chakula.... kula sijui hivi au hivi. Cheers!

Sio kweli unless hayo ma supplement unayotumia wewe hayaja zibitishwa International Science Council, Kosher rating na hazina scientific seal of approval.....unajilia masumu tu mwilini mwako. Supplement nazotumia mimi zimezibitishwa na myahudi (myahudi akishadhibitisha kitu we tumia usiulize mara mbili ).......nakushauri fanya uchunguzi wa kina wa hizo products kabla hujatumia usipokua makini utakuja mwaga kilio siku za usoni !!! Most companies wako ki biashara zaidi so watch out !!!!
 
futota, mi nakushauri uende hospitali upewe maelekezo na madaktari kuhusu vidonge gani inavihitaji kwa suala lako...wapo wataalamu wa masuala ya ngozi hapo muhimbili, agakhan, nenda ukawaona ili wakupe ushauri sahihi maana hapa hadi sasa sijaona suluhu ya ishu yako. Ila unanipa mashaka kwani nashawishika kuamini kuwa unataka kujikoroga, au una maradhi ya ngozi, au hujaridhika na uumbaji wa Mwenyezi Mungu kwako...jaribu kutafakari ujue unahitaji nini hasa, kisha kaonane na madaktari, physically.
 
Naomba niwape ushauri wadada - na hasa wale mnaotaka ngozi "angavu na nyororo"

bila kutumia chemicals - kumeza vidonge etc.

MWENYE SHIDA ANI - PM - ila ushauri/ujuzi unatozwa hela kidogo [no free lunch]
usipofanikiwa - your money is returned back

WAITING.............:flame:
 
Back
Top Bottom