Skin lightening

Skin lightening

4X4byfar

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
201
Reaction score
21
Za leo wapendwa,

Jamani mimi napenda sana ngozi yangu iwe light na smooth, naona wanawake wengi wenzangu wanavutia sana... nimejaribu kutumia baadhi ya skin lightening cream ila naungua kwenye mashavu na uso umejaa pimples nyeusi zilizojaa uchafu ule mweupe kwa ndani. Niliamua kuacha hizo cream na nimerudia rangi yangu ya kawaida ila naona sipendezi tena. Naomba munisaidie ni nini naweza kutumia ili nin´gae na niwe smooth. Sitaki kuchubuka tena, je kuna cream zozote ambazo hazichubui? Asanteni kwa ushirikiano wenu.
 
piga chakura bora (balanced diet) utashangaa mwenyewe, pita pande za masaki au obey uone watu wanavyo shine sura unajua sababu? MSOSI
 
wameshindwa 4x4byfar utakua wewe? Chonde chonde mkorogo ni nomaaaa!
 
layer ya juu ya ngozi umeshaiondoa hvyo kurudisha inahitaji mda but me skin consulant na kuna aina kama 5 za ngozi mojawapo ni sensitivity skin cema upo mkoa gani me npo dar but a,m traveler labda naweza kukusaidia but itakugharimu kidogo kurudisha layer iliondolewa na makemikako na kurudi kwenye natural beuty kama upo serious nitafute kwenye no 0683672508
 
layer ya juu ya ngozi umeshaiondoa hvyo kurudisha inahitaji mda but me skin consulant na kuna aina kama 5 za ngozi mojawapo ni sensitivity skin ambayo mtu akichomwa na jua ngozi inavimba na hutakiwa kuangazwa na jua cema upo mkoa gani me npo dar but a,m traveler labda naweza kukusaidia but itakugharimu kidogo kurudisha layer iliondolewa na makemikako na kurudi kwenye natural beuty kama upo serious nitafute kwenye no 0683672508
 
Za leo wapendwa,

Jamani mimi napenda sana ngozi yangu iwe light na smooth, naona wanawake wengi wenzangu wanavutia sana... nimejaribu kutumia baadhi ya skin lightening cream ila naungua kwenye mashavu na uso umejaa pimples nyeusi zilizojaa uchafu ule mweupe kwa ndani. Niliamua kuacha hizo cream na nimerudia rangi yangu ya kawaida ila naona sipendezi tena. Naomba munisaidie ni nini naweza kutumia ili nin´gae na niwe smooth. Sitaki kuchubuka tena, je kuna cream zozote ambazo hazichubui? Asanteni kwa ushirikiano wenu.
ulichopewa na muumba kiheshimu. na muogope muumba wako. light skin itakusaidia nini? utajiri? akili? jipende kama ulivyo. usiwe na mawazo ya kitumwa kuwa ngozi ya rangi fulani ni bora! watoto utazaa wa ngozi yako tu!!!
 
Back
Top Bottom