SKONGA: Kipindi 'kinachovua nguo' wanafunzi

Kama una matizo ya kuwa na kumbukumbu fupi, jikumbushe hapa:

Uliandika hivi:



Nikakujibu hivi:


Vipi, bado hujielewi tu?

Lakini dada yangu shule si kompyuta. Kwanza nimefanya kazi serikalini kiasi cha kujua uhalisia wa picha kama hizi. Mara nyingi kwenye mkusanyiko wa watu na matumizi ya kompyuta, nyingi huharibika.. Maofisini hii ipo sana, na ukarabati wake husubiri fungu toka serikalini au wafadhili. Sembuse kwa hizi shule? Hata kwenye vyuo vya kufundishia kompyuta utakuta ni mbovu haina mfano. Hizi picha zisituhadae hivyo. Na tujiulize wanajifunza nini hasa toka huko kwenye kompyuta? Kama hujui promo, ndio hizi. Pia kama kweli una data za hii Katanini tupe matokeo ya mwaka jana ya kidato cha nne tujue kweli shule hii ya serikali imejipambanua
 
Kwa misukule tu. Ngoja siku Jerry Slaa akishika Urais uone kama kutakuwa na upuuzi huo.

Siwezi kukataa moja kwa moja kwamba Raisi wangu kikwete amefanya mambo mazuri, wakati huo huo si kweli kwamba Nyerere ni chanzo cha uduni wa kiwango cha elimu uliopo sasa hivi, wakati huohuo naheshimu mchango na mawazo yako.

Lakini sitakubaliana na wewe kwamba serikali ya sasa imefanya juhudi za kutosha na kwa ufanisi kutatua suala la elimu.
Jitihada zaidi inahitajika na huenda kwa kushirikisha wataalam ilikuleta mabadiliko yenye tija kwa taifa. Thanks
 
 
 
 

Faiza anasema walimu wanaoandaliwa sasa watakuwa moto kweli miaka ijayo kisa wako kwenye utawala wa jk. Sasa atajitetea kuwa walimu wa walimu hao ni wa enzi za Mwalimu. Ila hii ya leo kiboko!
 

Hapo ndio ujuwe hakuna kubebwa kwa sasa. Kama hujafaulu kasome tena urudie mtihani. Unachokishangaa nini? na hao Waalimu Wao ni zao la Waalimu waleeeee wa St. Kayumba, au huelewi hilo?
 
Hapo ndio ujuwe hakuna kubebwa kwa sasa. Kama hujafaulu kasome tena urudie mtihani. Unachokishangaa nini? na hao Waalimu Wao ni zao la Waalimu waleeeee wa St. Kayumba, au huelewi hilo?
Na zile division zero 60% wanarudia mitihani au kuna utaratibu upi umetumika? am out sina muda wa kudebate na mtu aliyefungia akili zake kabatini na kujivika akili za maiti. Good bye.
 
haaaaha haaaha haaaha
 
Na zile division zero 60% wanarudia mitihani au kuna utaratibu upi umetumika? am out sina muda wa kudebate na mtu aliyefungia akili zake kabatini na kujivika akili za maiti. Good bye.

Naomba idadi ya hao waliobakia 40% ni ngapi vile?

Hivi hata hujuwi Tanzania mipango ya elimu inavyokwenda halafu unataka kubisha humu ndani?
 
Tusifike mbali sana,shule nying za goverment mjini kuna waalimu wawili wa somo moja,lakn wanafunzi hata hawamfati mwalimu kutaka kujua kitu.inashangaza mwanafunzi hata nini maana ya citizenship hajui alafu yupo form 3.inamaana form one hakusoma?la hasha bali ni wazazi kosa kubwa wanafanya kutofuatilia maendeleo ya mwanafunzi.mi nafundisha wanafunzi hata kukufata kukuuliza swali hakuna ,wakat kakosa swali na haji.nkijaribu kufatilia maendeleo yao wanasema mwalimu mnoko na anakihelehele.tatizo lipo kwa 1.mwanafunzi,2.mwalimu3.selikali.mwanafunz anatakiwa kuwa wa kwanza kujiwajibisha pia mwalimu atawa anawajibika maana anajua wanafunz watamuwajibisha
 

Kuna mmoja alisema "tunasoma viwili dabo"
 
ukitizama kile kipindi unaweza zaba mtoto wa mtu kituo cha daladala hata hajakukosea.
Unahisi na yeye ni kilaza.

sasa hapo ndipo ujue waalimu wake wanachoka kiasi gani.
Kuna siku niliwah kujiuliza mbona enzi zetu sisi akili tulikuwa nazo?? Mbona wakati ule kipindi cha mama na mwana kilikuwa na maswali lkn tulimudu kuyajibu?? Ama kipindi cha watoto wetu cha rtd??

Yumkini maisha halisi yamebadili wanetu, yumkini wazazi tumejisahau kabisa. Leo hii usishangae kwenye familia utakutana na magazeti ya udaku mwanzo mwisho kila siku lkn hukuti magazeti ya siasa, uchumi, habari na michezo.

Zile quiz kwenye magazeti zamani tulishindana kuzifaya iwe ni hesabu ama kiingereza ama sayansi ama somo lolote lile. Atlas tulitumis kujifunza dunia na mabara yake. Watoto tulijua mito mikubwa si tu tanzania bali ulimwenguni mwote. Nakumbuka mfereji mkubwa kuliko yote duniani nilijifunzia kwenye atlas (suez canal) lkn leo hii hata maziwa yaiyopo nchini mwanafunzi hajui.
Kongosho kumbuka kila mkoa tulijua ni maarufu kw akilimo cha zao gani la biahsara kwa la chakula. Tulijifunza makao makuu ya kila mkoa, pamoja na miji maarufu kila mkoa na makabila yake leo hii mwambaie mwanafunzi akutajie makabila yaliyopo kwenye mkoa wake uone kama atataja.

Lkn waulize mwanamziki gani anatoka na nani utamsikia weee bwana acha kabisa
 
Last edited by a moderator:

Ndugu yangu wee, kizazi hiki cha Ipad, google na BBA ni balaa tupu, mie ngachoka kabisa, nilikuwa nasahihisha mitihani ya MOCK last week nilitamani kulia, kazi ipo nchi hii.
 
UNASEMA MWANAFUNZI AJE AKUULIZE SWALI??
WAKATI MWALIMU WEWE NI MNOKO??
SIKU HIZI WANAMBINU ZAO ZA KUTOKUJAZA KABISA MTIHANI ZAID YA JINA LAKE AMA KUANDIKA MATUSI KUMTUSI MWALIMU. NILIWAH KUANDIIWA NA MWANAFUNZI WA FORM ONE KWENYE MTIHANI WA PHYSICS K2UM@ M@MaKO MTIHANI WOTE TENA ALIUNGANISHA BILA KUACHA NAFASI WALA KURUKA MSTARI YAANI UNGEONA UNGEKUFA KWA KICHEKO.

KASHESHE SASA HATA JINA HAKUANDIKA AKIJUA KWAMBA SITOMKAMATA KKUMBE WENZIE TUNAPOANDIKAGA ATTENDANCE KWENYE MTIHANI TUNAANDIKAGA KWA MENGI. LKN NILIMSAMEHE TU MANAKE HATA ANGEFUKUZWA SHULE STILL HASARA INGEKUWA YA MAZAZI WAKE. HIVYO MTU UNAPOTEZEA KIMTINDO.
 
ndugu yangu wee, kizazi hiki cha ipad, google na bba ni balaa tupu, mie ngachoka kabisa, nilikuwa nasahihisha mitihani ya mock last week nilitamani kulia, kazi ipo nchi hii.
Baba V unafikiri sikuhizi mie huwa naendaga marking?? Nilishajichokea kwakeli siwez kufa kwa presha. Manake ukiona wanavyokosa unaweza kurudi ukiwa mgonjwa wa akili.
 
Last edited by a moderator:
Vipindi vya burudani na miziki kwenye TV za Taifa ziwe baada ya saa tatu usiku. Masaa yaliyobaki viwe vipindi vya shule na dokyumentari zinazofundisha.

FF ndo yuleyule au,niliandaa uzi kukuulizia wewe na maralia sugu,nirudi kwa mada,vijana wetu wanachangamoto kubwa sana kabla ya mwaka 2005 simu hazikuwa nyingi na pia simu hazikuwa na teknolojia kubwa kama sasa,sasa sisi tuliosoma miaka hiyo tulikosa changamoto hizo,ila sasa wanafunzi wa baada ya 2005's kuna changamoto,ipad,simu nyingi plus intanet,tablet mitandao ya kijamii mingi,fm radio nyingi,matamasha ya mziki sasa mtoto kama ajitambui anazolewa na ulimwengu wa digitali
"VV"
 
Baba V unafikiri sikuhizi mie huwa naendaga marking?? Nilishajichokea kwakeli siwez kufa kwa presha. Manake ukiona wanavyokosa unaweza kurudi ukiwa mgonjwa wa akili.

Hakyanani kwa kweli.. unashindwa hata uanzie wapi, wakati huohuo unaskia serikali inataja maasilimia makubwamakubwa ya ufaulu hujui hata wameyatoa wapi, kimsingi hali ni mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…