Kama itakubal kwenda Visa nahis basi itaingia tu mpesa...kuna jamaa yangu aliwah withdrawal kutoka exness kwa MasterCard ya Voda,na pesa ikaingia na akatoa kweny mpesa.. nahis hata visa itakubalNaona withdraw via visa inapokea ila siko sure kama ya mpesa ikipokea utaweza ntu kuhihamishia kwenye mpesa ukaitoa
Jarbu equity.. sina uhakika sana ila nahisi inapokeaBank ipi pia visa card yake inapokea skrill?? maana a week before nilirequest visa card Bank Abc walisema wamesitisha kutoa hizo card
Nasikia Fnb bank, though sina uhakika mimi natumia visa ya equity bank ina deposit pekee, withdrawal hakuna kituBank ipi pia visa card yake inapokea skrill?? maana a week before nilirequest visa card Bank Abc walisema wamesitisha kutoa hizo card
Kwa experience yangu mimi Visa card ya equity bank inatuma pekee, haipokeiJarbu equity.. sina uhakika sana ila nahisi inapokea
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Bas jaribu uone mkuuKama itakubal kwenda Visa nahis basi itaingia tu mpesa...kuna jamaa yangu aliwah withdrawal kutoka exness kwa MasterCard ya Voda,na pesa ikaingia na akatoa kweny mpesa.. nahis hata visa itakubal
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Basi jamaa sjui aende wapi tenaKwa experience yangu mimi Visa card ya equity bank inatuma pekee, haipokei
ShukraniJarbu equity.. sina uhakika sana ila nahisi inapokea
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Shukrani ngoja niendelee kufuatiliaNasikia Fnb bank, though sina uhakika mimi natumia visa ya equity bank ina deposit pekee, withdrawal hakuna kitu
Hao FNB wana charges sio za nchi hiiNasikia Fnb bank, though sina uhakika mimi natumia visa ya equity bank ina deposit pekee, withdrawal hakuna kitu
Kuna vidola vyangu km laki 2
Kasema hiyo laki mbili baada ya kuchange kibongo bongoDola 200,000 unaita vidola laki mbili...
Una undugu na chenge?
Visa ya m-pesa haipokei, ila inaruhusu kuweka.Naona withdraw via visa inapokea ila siko sure kama ya mpesa ikipokea utaweza ntu kuhihamishia kwenye mpesa ukaitoa
Kwa PayPal hizo dollars ni mingi sana.. Ungekua na msela wako anaishi US angekutolea kwa account yake kabisa legally then akutumie kwa njia ya Mpesa au Worldremit... Vinginevyo utapoteza hizo fedha tu, PayPal ukivuta mpunga mwingine kwenye account yako wanalimit account wanaitisha ID sometimes hadi bank statements hizi documents kupata ni shughuli pevu!Nataka niitoe ila payment method ni paypal na payoneer
Nchi ya kishamba hii bado ina misheria ya kipumbavu eti inajaribu kushindana na globalization kitu ambacho ni impossible. Kuna hela hii nchi inapishana nazo bureee kabisa ila viongozi na wenye mamlaka naona wao wanajali matumbo yao tu hawataki kwenda na wakati..Serikali yetu Udwanzi mwingi sana! Pesa ninayowaachia Wakenya, ningeshasaidia sana nchi yangu. Bladifaken kantri.
Siyo kweli ni ela ndogo kwa paypal hiyo. Dola 100 ni peaa ndogo tu kwa paypal. Na siyo kweli kuhusu hiyo dolar 2000. Nna akaunti ya paypal nmeitengeneza mwez wa saba siki nimeitengeneza tu imeingia dolar 120, wakanionmba ID, nikatengeneza na kuwatumia baada ya hapo imepita pesa nyingi hawajaniomba.Kwa PayPal hizo dollars ni mingi sana.. Ungekua na msela wako anaishi US angekutolea kwa account yake kabisa legally then akutumie kwa njia ya Mpesa au Worldremit... Vinginevyo utapoteza hizo fedha tu, PayPal ukivuta mpunga mwingine kwenye account yako wanalimit account wanaitisha ID sometimes hadi bank statements hizi documents kupata ni shughuli pevu!
Kwa account ya PayPal ya Ke ina limit kutoa pesa, kwa mwaka total transactions ni $2000 tu zaidi ya hapo wataomba documents ngumu kupata kama ww sio mkazi wa Ke.
Equity simshauri atapoteza fedha zake tu, hakuna bank mbovu kama Equity walichonifanyaga sina hamu nao! Awacheck banc ABC na Exim ndo uhakika hawanaga longo longo..Jarbu equity.. sina uhakika sana ila nahisi inapokea
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Nilimwelewa vibaya mkuu sorry! Nilijua ana $200k [emoji1] lakini kama after exchange ndiyo TZS 200K hapo sawa inatoka hata kwa accounts za magumashi.. Ila tu asiitoe yote $100 atoe kwa mafungu...!Siyo kweli ni ela ndogo kwa paypal hiyo. Dola 100 ni peaa ndogo tu kwa paypal. Na siyo kweli kuhusu hiyo dolar 2000. Nna akaunti ya paypal nmeitengeneza mwez wa saba siki nimeitengeneza tu imeingia dolar 120, wakanionmba ID, nikatengeneza na kuwatumia baada ya hapo imepita pesa nyingi hawajaniomba.
Hapo hapo nna account nyingine ya paypal haijawa verified na imepitisha zaidi ya usd 3000+ na hawajaomba ID mpaka now.
Nilichogundua, source ya pesa ina matter. Kama pesa waipokea toka kwenye kampuni zenye reputation paypal haina shida. Shida ni pale upokee pesa toka kwa watu binafsi
We $200k uipitishe paypal unaanzaje 🤣🤣Nilimwelewa vibaya mkuu sorry! Nilijua ana $200k [emoji1] lakini kama after exchange ndiyo TZS 200K hapo sawa inatoka hata kwa accounts za magumashi.. Ila tu asiitoe yote $100 atoe kwa mafungu...!
Nilimaanisha kwa account isiyokua verified ya Ke limit ya transactions kwa mwaka ni $2000 tu mkuu! Ukizidisha hapo wataomba docs kulift limitations, ila kama usha verify haina shida ila sio guarantee eti hutokuja kuombwa docs tena hapana system ya PayPal ni very complicated sana..Siyo kweli ni ela ndogo kwa paypal hiyo. Dola 100 ni peaa ndogo tu kwa paypal. Na siyo kweli kuhusu hiyo dolar 2000. Nna akaunti ya paypal nmeitengeneza mwez wa saba siki nimeitengeneza tu imeingia dolar 120, wakanionmba ID, nikatengeneza na kuwatumia baada ya hapo imepita pesa nyingi hawajaniomba.
Hapo hapo nna account nyingine ya paypal haijawa verified na imepitisha zaidi ya usd 3000+ na hawajaomba ID mpaka now.
Nilichogundua, source ya pesa ina matter. Kama pesa waipokea toka kwenye kampuni zenye reputation paypal haina shida. Shida ni pale upokee pesa toka kwa watu binafsi
Paypal hawatabiriki mimi kuna avcount waliifunga mwez wa tatu ina usd 2400, mwez watisa wakanitumia email kuwa naweza kuitoa hiyo pesa, kimbembe kikaja njia ya kuitoa ni via US bank acc nikaweka ya payoneer wakaikataa, nikafanya research nikagundia community bank ya payoneer inakibali so nika request wakanipa nikaweka ikakubali. Nikitaka kutoa wanatuma code kwenye nba ya zaman ya safaricom niweke ndo nmalize, sa namba nshaitupa ikabidi niingie seting niweke namba mpya. Ajabu namba mpya hiyo imekubali na ndo nikowa na login inapokea msg ila kwenye kutoa code inatumwa namba ya zaman, nmewasiliana nao wanasema et wananipgia kuverify vitu. Shida details za ktambulisho cha hyo acc sina na sikumbuki.Nilimaanisha kwa account isiyokua verified ya Ke limit ya transactions kwa mwaka ni $2000 tu mkuu! Ukizidisha hapo wataomba docs kulift limitations, ila kama usha verify haina shida ila sio guarantee eti hutokuja kuombwa docs tena hapana system ya PayPal ni very complicated sana..
Kingine PayPal wako makini sana na miamala yako kuliko chochote kile na huwa wana track kila transactions unazofanya kuanzia inapotoka na kuingia wako makini mnoo hili eneo. Ngoja nikuibie siri sasa, ukiona umetumiwa pesa na mtu binafsi na account ikawa limited kuna mawili, Either account ya huyo alikutumia hiyo hela aliipora kwa mtu/kanunua zile za darkweb, pili either hiyo account huwa anafanya hiribi businesses (biashara za bitcoins)