Skrill waondoa limitations kwa mastercard

Naona withdraw via visa inapokea ila siko sure kama ya mpesa ikipokea utaweza ntu kuhihamishia kwenye mpesa ukaitoa
Kama itakubal kwenda Visa nahis basi itaingia tu mpesa...kuna jamaa yangu aliwah withdrawal kutoka exness kwa MasterCard ya Voda,na pesa ikaingia na akatoa kweny mpesa.. nahis hata visa itakubal

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Bank ipi pia visa card yake inapokea skrill?? maana a week before nilirequest visa card Bank Abc walisema wamesitisha kutoa hizo card
Nasikia Fnb bank, though sina uhakika mimi natumia visa ya equity bank ina deposit pekee, withdrawal hakuna kitu
 
Kama itakubal kwenda Visa nahis basi itaingia tu mpesa...kuna jamaa yangu aliwah withdrawal kutoka exness kwa MasterCard ya Voda,na pesa ikaingia na akatoa kweny mpesa.. nahis hata visa itakubal

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Bas jaribu uone mkuu
 
Nataka niitoe ila payment method ni paypal na payoneer
Kwa PayPal hizo dollars ni mingi sana.. Ungekua na msela wako anaishi US angekutolea kwa account yake kabisa legally then akutumie kwa njia ya Mpesa au Worldremit... Vinginevyo utapoteza hizo fedha tu, PayPal ukivuta mpunga mwingine kwenye account yako wanalimit account wanaitisha ID sometimes hadi bank statements hizi documents kupata ni shughuli pevu!

Kwa account ya PayPal ya Ke isiyo verified ina limit kutoa pesa, kwa mwaka total transactions ni $2000 tu zaidi ya hapo wataomba documents ngumu kupata kama ww sio mkazi wa Ke.
 
Serikali yetu Udwanzi mwingi sana! Pesa ninayowaachia Wakenya, ningeshasaidia sana nchi yangu. Bladifaken kantri.
Nchi ya kishamba hii bado ina misheria ya kipumbavu eti inajaribu kushindana na globalization kitu ambacho ni impossible. Kuna hela hii nchi inapishana nazo bureee kabisa ila viongozi na wenye mamlaka naona wao wanajali matumbo yao tu hawataki kwenda na wakati..
 
Kwa PayPal hizo dollars ni mingi sana.. Ungekua na msela wako anaishi US angekutolea kwa account yake kabisa legally then akutumie kwa njia ya Mpesa au Worldremit... Vinginevyo utapoteza hizo fedha tu, PayPal ukivuta mpunga mwingine kwenye account yako wanalimit account wanaitisha ID sometimes hadi bank statements hizi documents kupata ni shughuli pevu!

Kwa account ya PayPal ya Ke ina limit kutoa pesa, kwa mwaka total transactions ni $2000 tu zaidi ya hapo wataomba documents ngumu kupata kama ww sio mkazi wa Ke.
Siyo kweli ni ela ndogo kwa paypal hiyo. Dola 100 ni peaa ndogo tu kwa paypal. Na siyo kweli kuhusu hiyo dolar 2000. Nna akaunti ya paypal nmeitengeneza mwez wa saba siki nimeitengeneza tu imeingia dolar 120, wakanionmba ID, nikatengeneza na kuwatumia baada ya hapo imepita pesa nyingi hawajaniomba.
Hapo hapo nna account nyingine ya paypal haijawa verified na imepitisha zaidi ya usd 3000+ na hawajaomba ID mpaka now.
Nilichogundua, source ya pesa ina matter. Kama pesa waipokea toka kwenye kampuni zenye reputation paypal haina shida. Shida ni pale upokee pesa toka kwa watu binafsi
 
Nilimwelewa vibaya mkuu sorry! Nilijua ana $200k [emoji1] lakini kama after exchange ndiyo TZS 200K hapo sawa inatoka hata kwa accounts za magumashi.. Ila tu asiitoe yote $100 atoe kwa mafungu...!
 
We $200k uipitishe paypal unaanzaje 🤣🤣
Hata bank ikiingia kama hujawah pokea pesa hyo lazima wakuite.
Juzi kibinti cha kenya kimwanagunz kina mika 22, kina boyfriend mzungu aliwekeza kwenye bitcoin now ni millionare in usd, kakizawadia kama bls 4 za kibongo. Zilipoingia tu kwenye acc ya kibinti askari wakakitimbia na kukibeba wakihisi na money raundering.
 
Siyo kweli ni ela ndogo kwa paypal hiyo. Dola 100 ni peaa ndogo tu kwa paypal. Na siyo kweli kuhusu hiyo dolar 2000. Nna akaunti ya paypal nmeitengeneza mwez wa saba siki nimeitengeneza tu imeingia dolar 120, wakanionmba ID, nikatengeneza na kuwatumia baada ya hapo imepita pesa nyingi hawajaniomba.
Hapo hapo nna account nyingine ya paypal haijawa verified na imepitisha zaidi ya usd 3000+ na hawajaomba ID mpaka now.
Nilichogundua, source ya pesa ina matter. Kama pesa waipokea toka kwenye kampuni zenye reputation paypal haina shida. Shida ni pale upokee pesa toka kwa watu binafsi
Nilimaanisha kwa account isiyokua verified ya Ke limit ya transactions kwa mwaka ni $2000 tu mkuu! Ukizidisha hapo wataomba docs kulift limitations, ila kama usha verify haina shida ila sio guarantee eti hutokuja kuombwa docs tena hapana system ya PayPal ni very complicated sana..

Kingine PayPal wako makini sana na miamala yako kuliko chochote kile na huwa wana track kila transactions unazofanya kuanzia inapotoka na kuingia wako makini mnoo hili eneo. Ngoja nikuibie siri sasa, ukiona umetumiwa pesa na mtu binafsi na account yako ikawa limited kuna mawili, Either account ya huyo alikutumia hiyo hela aliipora kwa mtu/kanunua zile za darkweb za wizi zilizodukuliwa, pili either hiyo account huwa anafanya hiribi businesses (biashara za bitcoins, PayPal na biashara ya hizi digital currencies kwenye personal account hata business sometimes ni paka na panya kwenye non-us paypal account)
 
Nilimaanisha kwa account isiyokua verified ya Ke limit ya transactions kwa mwaka ni $2000 tu mkuu! Ukizidisha hapo wataomba docs kulift limitations, ila kama usha verify haina shida ila sio guarantee eti hutokuja kuombwa docs tena hapana system ya PayPal ni very complicated sana..

Kingine PayPal wako makini sana na miamala yako kuliko chochote kile na huwa wana track kila transactions unazofanya kuanzia inapotoka na kuingia wako makini mnoo hili eneo. Ngoja nikuibie siri sasa, ukiona umetumiwa pesa na mtu binafsi na account ikawa limited kuna mawili, Either account ya huyo alikutumia hiyo hela aliipora kwa mtu/kanunua zile za darkweb, pili either hiyo account huwa anafanya hiribi businesses (biashara za bitcoins)
Paypal hawatabiriki mimi kuna avcount waliifunga mwez wa tatu ina usd 2400, mwez watisa wakanitumia email kuwa naweza kuitoa hiyo pesa, kimbembe kikaja njia ya kuitoa ni via US bank acc nikaweka ya payoneer wakaikataa, nikafanya research nikagundia community bank ya payoneer inakibali so nika request wakanipa nikaweka ikakubali. Nikitaka kutoa wanatuma code kwenye nba ya zaman ya safaricom niweke ndo nmalize, sa namba nshaitupa ikabidi niingie seting niweke namba mpya. Ajabu namba mpya hiyo imekubali na ndo nikowa na login inapokea msg ila kwenye kutoa code inatumwa namba ya zaman, nmewasiliana nao wanasema et wananipgia kuverify vitu. Shida details za ktambulisho cha hyo acc sina na sikumbuki.
Nmeiacha kwanza ntapambana anyo tena baada ya mkez 3 labda system itaanza tuma kwenye namba mpya.
 
Back
Top Bottom