Skrill waondoa limitations kwa mastercard

Skrill waondoa limitations kwa mastercard

Napoingia kwenye kujisajili skrill sioni option inayoniambia nijaze currency kibongo naona haipo
 
Fungua akaunti skrill iverify unha mpesa visa card itumie kulipa na kiwithdraw
Msaada, Nina Skrill account ipo verified, ku deposit inakubali, lakini ku withdrawal inagoma kabisa, apa natakiwa kufanyaje
 
Mkuu, hii ndo njia nzuri kwa kutoa hela kutoka freelancer? naona wanaleta GBP NA Euro pekee.
Ukitoa ela kutoka freelancer to skrill lazima itoke kama euro huwez kuitoa kama usd. Ikfika skrill utaitoa kwa njia gani?
 
lakini ku withdrawal inagoma kabisa, apa natakiwa kufanyaje
Nitakutolea kwa rate ya $1 = 2,100 instantly via airtel/tigopesa/mpesa yako kama utahitaji.
kutoka freelancer? naona wanaleta GBP NA Euro pekee.
-Yes ni kwa GBP / EUR itaingia skrill,
Kisha kwa kutumia skrill exchange utazileta kwenye USD na kuweza kuendelea na taratibu za kutoa.
1638081344446.png

Duh kuna way forward yoyote mkuu!
- Iwapo una_accept rate yangu ya ( $1=TZS.2,100) , Njoo PM.

- Kutoa fedha skrill nimeanza tangu 2017 angalia hapa post ya #3. kuna maelekezo yangu.

- Baadhi ya miamala toka Freelancer

1638081611291.png


Utaona hapo napokea kwa EUR na kubadili kuwa USD (account yngu ya skrill iko kwa USD) ndipo natoa,
 
Back
Top Bottom