Skrill waondoa limitations kwa mastercard

Skrill waondoa limitations kwa mastercard

Siyo kweli ni ela ndogo kwa paypal hiyo. Dola 100 ni peaa ndogo tu kwa paypal. Na siyo kweli kuhusu hiyo dolar 2000. Nna akaunti ya paypal nmeitengeneza mwez wa saba siki nimeitengeneza tu imeingia dolar 120, wakanionmba ID, nikatengeneza na kuwatumia baada ya hapo imepita pesa nyingi hawajaniomba.
Hapo hapo nna account nyingine ya paypal haijawa verified na imepitisha zaidi ya usd 3000+ na hawajaomba ID mpaka now.
Nilichogundua, source ya pesa ina matter. Kama pesa waipokea toka kwenye kampuni zenye reputation paypal haina shida. Shida ni pale upokee pesa toka kwa watu binafsi
Sure! Pesa ikitoka kwenye kampuni zinazojulikana Kuna uwezekano mdogo wa kui-hold, Nina experience Kuna client alinilipa kwenye PayPal personal account yake hela wakahiold Kwa siku 21 ila Hela yangu inayotoka Fiverr hawajawahi kui-hold
 
Ilibidi averify kuwa kapokea mzgo au service, anapata hiyo option siku ya 3 toka akutumie hyo pesa, akiverify tu inakuwa available kuitoa
 
Ilibidi averify kuwa kapokea mzgo au service, anapata hiyo option siku ya 3 toka akutumie hyo pesa, akiverify tu inakuwa available kuitoa
Yeye Hana account ya PayPal, PayPal walimtumia tu invoice kwenye email yake akalipia, ko nililazimika kusubiri siku 21 na kazi yenyewe ilikuwa ni virtual service i.e Facebook moderator [emoji23]
 
Msaada kwa wanaojua kutengeneza visual card kwa tigo. Nataka nilipie bidhaa online
 
Nitakutolea kwa rate ya $1 = 2,100 instantly via airtel/tigopesa/mpesa yako kama utahitaji.

-Yes ni kwa GBP / EUR itaingia skrill,
Kisha kwa kutumia skrill exchange utazileta kwenye USD na kuweza kuendelea na taratibu za kutoa.
View attachment 2025874

- Iwapo una_accept rate yangu ya ( $1=TZS.2,100) , Njoo PM.

- Kutoa fedha skrill nimeanza tangu 2017 angalia hapa post ya #3. kuna maelekezo yangu.

- Baadhi ya miamala toka Freelancer

View attachment 2025886

Utaona hapo napokea kwa EUR na kubadili kuwa USD (account yngu ya skrill iko kwa USD) ndipo natoa,
Nahitaji huduma mkuu
 
Inawezekana kuwithdraw kwa mpesa virtual card??
Sijawah kujaribu siko sure ila kama una line ya safaricom unafanya kama.wamtumia.mtu pesa inaingia kwa safaricom halafu wajtumia.mpesa
 
We $200k uipitishe paypal unaanzaje [emoji1787][emoji1787]
Hata bank ikiingia kama hujawah pokea pesa hyo lazima wakuite.
Juzi kibinti cha kenya kimwanagunz kina mika 22, kina boyfriend mzungu aliwekeza kwenye bitcoin now ni millionare in usd, kakizawadia kama bls 4 za kibongo. Zilipoingia tu kwenye acc ya kibinti askari wakakitimbia na kukibeba wakihisi na money raundering.
Huu ujinga ndo umefanya hela zangu zote nimeziweka kwenye Blockchain wallets
 
Huu ujinga ndo umefanya hela zangu zote nimeziweka kwenye Blockchain wallets
[emoji23][emoji23][emoji23] au cyo ata Mimi ela zangu nazopata kupitia freelancing platform naziconvent into crypto currency
 
Back
Top Bottom