Skudu imekuwaje tena

Skudu imekuwaje tena

Na hili ndilo tatizo lenu kubwa mashabiki wa simba!! Kila kitu mnachoambiwa au kusikia, huwa mnakiamini na kukichukulia kama kilivyo.

I think Ismail Aden Rage is a genius.
Shida ni kwamba huwa hamtumii akili zenu kuchambua mambo na kujua huyu anaongea akimaanisha?
I think Manara was right....
 
Apelekwe bendi ya Misso Misondo akacheze na wale wazee wa makoti....umepigaje hapo
 
Mchezaji kasajiliwa na waganga pale yanga.
 
Back
Top Bottom