KERO Skuli ya Ambasha iliyopo Wete (Pemba) inawatoza Wanafunzi fedha ili kuwalipa Walimu wa field, Je, ni halali?

KERO Skuli ya Ambasha iliyopo Wete (Pemba) inawatoza Wanafunzi fedha ili kuwalipa Walimu wa field, Je, ni halali?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

MJENZI WA TAIFA

New Member
Joined
Oct 31, 2026
Posts
1
Reaction score
2
Uongozi wa Skuli ya Msingi Ambasha inayopatikana Shenge Juu, Wete Kisiwani Pemba unawatoza Wanafunzi fedha kwa ajili ya kuwalipa Walimu wa Mafunzo kwa Vitendo (field) ambao wanajitolea shuleni hapo. Hali hiyo imekuwa ikisababisha manung'uniko kwa Wazazi na walezi wa Wanafunzi.

Naomba niulize, Je, kitendo cha kuwatoza wanafunzi fedha kwa ajili ya malipo ya walimu hao kinaruhusiwa kisheria huku kwetu Zanzibar?
 
Au hao walimu wametoka Bara
 
Toa mchango acha pyala pyala......
Kazi ni kipimo cha utu
 
Toa pesa wewe, Elimu ghali. Jaribu ujinga.
 
Back
Top Bottom