Chalii anazingua, anataka awabadilishe watu jinsia nini!we jamaa niaje embu fata yako..Mimi sio KE ni ME
Sent from my iDevice using Tapatalk
MsalimieNyagei yupo kazini[emoji5]
Ohoo umeshapata fursa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mbona pm yangu haujibu?
Akuuu! Sitaki.Intavyuu imeanza..Njoo na bisi ghetto tufwatilie
Kuna kitu anakitafuta muache tuChalii anazingua, anataka awabadilishe watu jinsia nini!
Na uzuri tumeshiba kwanza .....najiona pembeni mwa mababu wawili hapo, tayari uso umeshametameta...
natambua nafasi yako mkuu
Zimefika shemMsalimie
Inaacha vipengele vya maswali!Ninafanya kazi ya kuhudumia watu na hii inatoka na na mapenzi niliyonayo moyoni kuona watu wanaopata huduma muhimu pale wanapozihitaji
Shem unaonaa leo lugha pendwa[emoji87] [emoji87]Usimfanyie hivyo cuzoo wangu[emoji23] [emoji23]
Shem mpotezee huyo si tushamzoea huyo ana tatizo lile la mwezi mchangaNataka aje pm mimi ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]looh hupitwi kisu
hii thread iko na fujo sana.. jibu tag kwenye swali... ulete mtiririko mzuriNinafanya kazi ya kuhudumia watu na hii inatoka na na mapenzi niliyonayo moyoni kuona watu wanaopata huduma muhimu pale wanapozihitaji
Angalia pm yako mtt mzuriNataka aje pm mimi ..
Akuuu! Sitaki.
Hahaaaaa usimfanyie hivyo pleaseeeeShem unaonaa leo lugha pendwa[emoji87] [emoji87]
Na jana kajifanya anakanda andaz nimezipenda nimemwambia na leo afanye hivo....
Huyu ni ex mume wangu, baba wa mwanangu.Ohoo umeshapata fursa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent from my iDevice using Tapatalk
Hahaha usijal utanichoka [emoji4][emoji4][emoji4]Can't wait wallah[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Kuzaliwa kama mtoto wa mwisho nilidekezwa sana na wazazi lakini dada mkubwa amekuwa mtu aliyenipa though love iliyonisaidia kupambana na duniaInaacha vipengele vya maswali!
Nani alikuwa msaada kwako kuwa hivyo ulivyo Leo wazazi,walimu,ndugu au marafiki!?
muosha rungu
Usisahau zawadi[emoji85] [emoji85]Hahaha usijal utanichoka [emoji4][emoji4][emoji4]