Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Mama mkwe itisha Heineken na wewe ! Shikamoo lakini

d7144d9b6809f96a91bffa2edf8d2d4d.jpg
Marahabaaa!
Mkwe hivyo vitu mimihapana tumia. Nipe maji tu ya kilimanjaro yanatosha.
 
Acha upuuzi wa kingese we jamaa...una mambo ya kijinga sana..badilika aisee hivi hata hujishtukii hapa ndani peke yako ndio unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu... ??

Ngoja nikae kimya tu, nisije nikala BAN BURE

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Jose una heshima kubwa sana usikubali kuipoteza sababu ya upuuzi wa mjinga mmoja.
Mpotezee tu
 
Acha upuuzi wa kingese we jamaa...una mambo ya kijinga sana..badilika aisee hivi hata hujishtukii hapa ndani peke yako ndio unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu... ??

Ngoja nikae kimya tu, nisije nikala BAN BURE

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Mkuu sidhani kama hasira ni suruhisho

Mm nimeuliza kwa wema tu..relax

Ukinijibu ntakuelewa.
 
Back
Top Bottom