Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
[emoji23] [emoji23]Bora mpenz na jua lilivyokali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Bora mpenz na jua lilivyokali
Marahabaaa!Mama mkwe itisha Heineken na wewe ! Shikamoo lakini
![]()
Mkuu mm ni nani nikukoseshe uondoo....leo haubandukiiimpwa mbona hakuna wanzuki hapo, ongeza angalau hata mbege...
mama wa nguvu huyu inatakiwa unamsikiliza ukiwa umechangamka...
Hahaaa au nichukue bapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jinsia salama ndio mdudu gani?Samahan mkuu, Wewe ni jinsia Salma??? [emoji85] [emoji85]
Sawa aseeh... anataka nimtukane nipigwe BAN kitu ambacho naweza ila sitaki..Jose achana nae mpuuze tu bhana
Jose una heshima kubwa sana usikubali kuipoteza sababu ya upuuzi wa mjinga mmoja.Acha upuuzi wa kingese we jamaa...una mambo ya kijinga sana..badilika aisee hivi hata hujishtukii hapa ndani peke yako ndio unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu... ??
Ngoja nikae kimya tu, nisije nikala BAN BURE
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Basi siku hiyo uipe likizo kidogo..Mana aibu na hiyo intavyuu haviendaniJana aiseee[emoji28] [emoji28]
Mie mzima kabisa
We dondoka kwangu nakuhakikisha nitajibu, sinto kuangushaMbona pm yangu haujibu?
Ngoja amaliziee kupikaa make nikimruhusu now naona kupika itakuwaa saa 5 usikuuShem cuzoo wangu yuko wapi? ?
Muda ndo huu[emoji28] [emoji28]
Mkuu sidhani kama hasira ni suruhishoAcha upuuzi wa kingese we jamaa...una mambo ya kijinga sana..badilika aisee hivi hata hujishtukii hapa ndani peke yako ndio unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu... ??
Ngoja nikae kimya tu, nisije nikala BAN BURE
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Jibapa ungeagiza jana bhana uteme yai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa au nichukue bapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shunie atakuja nimesha mtaarifu Shem
Sakayo sijamuona muda sana
Hahaaa..Marahabaaa!
Mkwe hivyo vitu mimihapana tumia. Nipe maji tu ya kilimanjaro yanatosha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi siku hiyo uipe likizo kidogo..Mana aibu na hiyo intavyuu haviendani
Sasaje ili tuoneshe ushirikianoNaona vyombo mkuu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
najiona pembeni mwa mababu wawili hapo, tayari uso umeshametameta...Mkuu mm ni nani nikukoseshe uondoo....leo haubandukiii![]()
Sawa sawa LinamoJose una heshima kubwa sana usikubali kuipoteza sababu ya upuuzi wa mjinga mmoja.
Mpotezee tu
Intavyuu imeanza..Njoo na bisi ghetto tufwatilieYaani wewe haya tu!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]