Mkuu mm nachotafuta ni FACT.Kuna kitu anakitafuta muache tu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Kumbe lugha ya commonwealth unaimudu kama ilivyo hapo bold maana wazee wetu hawa wa middle school walikuwa wanahimiza hiyo lughaNilizaliwa Dar lakini sehemu kubwa ya elimu yangu ilikuwa kwenye boarding schools.
Uelewa wangu wa historia ya Dar inaanza kwa wazazi ambao walisoma wakati wa mkoloni na baada ya uhuru walikuwa wafanyakazi serikali ni na mashirika ya umma
Kwa hiyo wewe ni Single mother, sasa si uende ukampe TBTHuyu ni ex mume wangu, baba wa mwanangu.
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]mie ndo zawadi yenyewe hafu mazawad yangu ni yale makubwa makubwa yasiyobebeka[emoji35][emoji35]Usisahau zawadi[emoji85] [emoji85]
mnaharibu interview, hivi mko jee mpaka mnakera sasaHahaaaaa usimfanyie hivyo pleaseeee
[emoji134] [emoji134] [emoji134] hayo hayo nayasubiri[emoji5] [emoji5][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]mie ndo zawadi yenyewe hafu mazawad yangu ni yale makubwa makubwa yasiyobebeka[emoji35][emoji35]
Shem[emoji134]Nimekujibu mkuu..
Karibu sana.
Hapana sio singo maza, nishaolewa tena.Kwa hiyo wewe ni Single mother, sasa si uende ukampe TBT
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Mkuu huto tu emoji twa kufumba midomoShem unaonaa leo lugha pendwa[emoji87] [emoji87]
Na jana kajifanya anakanda andaz nimezipenda nimemwambia na leo afanye hivo....
Ni mkarimu mno na wengine wanafikiriacwanaweza kunitumia kwasababu ya ukarimu wangu lakini ni ja siri wa kupambana mpaka mwenyewe ninajishangaaKumbe kitinda mimba!
Udhaifu Na ujasiri wako ni upi!
muosha rungu
Fanya mambo yako pleasemnaharibu interview, hivi mko jee mpaka mnakera sasa
Haya bwanaKuhusu wewe siwezi kupitwa.
Kumbe.... unaogopa kukumbushia??Hapana sio singo maza, nishaolewa tena.
TBT hakuna bwana.
Atawaletea mrejesho huko pm pamekaa vipi.Shem mpotezee huyo si tushamzoea huyo ana tatizo lile la mwezi mchanga
Hongera kwa ujasiri!Ni mkarimu mno na wengine wanafikiriacwanaweza kunitumia kwasababu ya ukarimu wangu lakini ni ja siri wa kupambana mpaka mwenyewe ninajishangaa
Ww mwanamke acha kujipendekezaJoseverest usihangaike na huyu mtoa mafua !mie ndo kiboko yake kwa kila week lazima ale ban hiv ametoka juz tu kwenye ban ! we akikutusi fanya kureport [HASHTAG]#mods[/HASHTAG] uzuri wao wanamjua !hawnaa shida kbs kumpa ban kila baada ya siku 5!
Hahaaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134]Atawaletea mrejesho huko pm pamekaa vipi.