Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Kuna kitu anakitafuta muache tu

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Mkuu mm nachotafuta ni FACT.

hapa wadau kibao wanatafuta ma manzi kumbe wamejificha kwenye i.d za kiume

Niambie tu ukweli ww ni me ???
 
Nilizaliwa Dar lakini sehemu kubwa ya elimu yangu ilikuwa kwenye boarding schools.
Uelewa wangu wa historia ya Dar inaanza kwa wazazi ambao walisoma wakati wa mkoloni na baada ya uhuru walikuwa wafanyakazi serikali ni na mashirika ya umma
Kumbe lugha ya commonwealth unaimudu kama ilivyo hapo bold maana wazee wetu hawa wa middle school walikuwa wanahimiza hiyo lugha
 
Shem unaonaa leo lugha pendwa[emoji87] [emoji87]

Na jana kajifanya anakanda andaz nimezipenda nimemwambia na leo afanye hivo....
Mkuu huto tu emoji twa kufumba midomo

Ndio tunatupa mashaka

Hivi ww ni me au ke???
 
Joseverest usihangaike na huyu mtoa mafua !mie ndo kiboko yake kwa kila week lazima ale ban hiv ametoka juz tu kwenye ban ! we akikutusi fanya kureport [HASHTAG]#mods[/HASHTAG] uzuri wao wanamjua !hawnaa shida kbs kumpa ban kila baada ya siku 5!
Ww mwanamke acha kujipendekeza

hasira yako kwangu ni kwasababu nilikutumia na kukutelekeza....big g !!!
 
Back
Top Bottom