Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Hakuna msaada mkubwa kama msaada wa mawazo, ninakumbuka Ontario alisema information ni muhimu katika maendeleo na katika kupata mawazo usidharau ushauri wa mtu kutokana na hali yake.
Sawa!
Shughuli zipi Na vitu gani ukifanya unaona umetumia karama ulizojaliwa Na Mungu ipasavyo!?
Kwako wewe je kuna tofauti yeyote kati ya mtu kuwepo tu dunian Na kuishi?

muosha rungu
 
Sawa!
Shughuli zipi Na vitu gani ukifanya unaona umetumia karama ulizojaliwa Na Mungu ipasavyo!?
Kwako wewe je kuna tofauti yeyote kati ya mtu kuwepo tu dunian Na kuishi?

muosha rungu
Kusema ukweli bado ninapambana na sijafikia mahali nikaona nimetumia vizuri vipaji alivyonipa Mungu, ingawa ninapata shukrani nyingi.

Mungu alitupa zawadi kubwa sana ya maisha bure hivyo kwanza kama binadamu tulinde afya zetu hii ni zawadi ya kwanza kupewa na Mungu pili tubadilishe dunia iwe mahali pazuri kuishi kama vile kutolipa visasi.
 
Unaacha vipengele vya swali!
Uliwahi Fanya nini ambacho hujivunii yaani kitu ambacho ulikifanya ila unakichukia kwa sasa!

muosha rungu
 
Ninafananishwa ningesettle down mapema lakini huwezi kurudiaha muda nyuma ninachoshukuru ni kuwa nimekuwa na busara zaidi kuhimili mikojo ya mahusiano
Mikojo!!error!
Kama unataka kuanzisha kampuni kesho ni mambo yepi makuu matatu utayapa kipaumbele!



muosha rungu
 
Nqmtafuta mke wangu joanah kaniacha chumban kasema anaenda chonii hv hajafika hukuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…