Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Biashara iwe na lengo la kutoa huduma kwa jamii

Kitakachopatikana ninafikiria zaidi kuwa ni rizki kuliko faida

Kabla hujafikiria kupumzika wa fikiria wale unaowahidumia wana hali gani
Mtaji sio dili!!
Mabadiliko Na mambo yasiyotarajiwa yakiikumba biashara yako vipi utawaweka sawa watu wako ktk timu yako ili waendane Na Hall bila kuathiri tija ya biashara!?

muosha rungu
 
Mtaji sio dili!!
Mabadiliko Na mambo yasiyotarajiwa yakiikumba biashara yako vipi utawaweka sawa watu wako ktk timu yako ili waendane Na Hall bila kuathiri tija ya biashara!?

muosha rungu
Kabla hujafanya biashara kujiweka kwanza kuwa wewe una ujuzi wa asilimia 50 katika kuendesha ulichoanzisha, kama ninhotel uwe na ujuzi kidogo wa kupika hata uko kosa mpishi utaingia mwenyewe jikoni.

Uwe pia na uwezo wa kusikiliza shida za wafanyakazi na kutafuta ufumbuzi pia uwe na siri atakae kueleza shida yake kwani ukiwa boss ni kama mzazi
 
Kabla hujafanya biashara kuwekewa kwanza kuwa wewe una ujuzi wa asilimia 50 katika kuendesha ulichoanzisha, kama ninhotel uwe na ujuzi kidogo wa kupika hata uko kosa mpishi utaingia mwenyewe jikoni.

Uwe pia na uwezo wa kusikiliza shida za wafanyakazi na kutafuta ufumbuzi pia uwe na siri atakae kueleza shida yake kwani ukiwa boss ni kama mzazi
Katika shughuli zako kwa siku nn malengo yako hasa kazi watu au hisia zako?
Unatageti kipi hapo!

muosha rungu
 
Back
Top Bottom