So what!Nqmtafuta mke wangu joanah kaniacha chumban kasema anaenda chonii hv hajafika hukuu?
Leo tunatumia kimalkia au kinyerere?Hii sio ya kukosa
Afu leo tunatumia lugha yetu pendwa
Usifanye hivo bibie utanitesa!Nimekununia[emoji57]
Mtaji sio dili!!Biashara iwe na lengo la kutoa huduma kwa jamii
Kitakachopatikana ninafikiria zaidi kuwa ni rizki kuliko faida
Kabla hujafikiria kupumzika wa fikiria wale unaowahidumia wana hali gani
Si ilinikimbia jana?Usifanye hivo bibie utanitesa!
Kulikoni?
HakikaUkimpotezea ataacha upumbavu wake maana atajua hamuna anaejali wala kujishuhulisha na uchizi wake.
Mzee unaugwadu sana nini?sawa mkuu..
Sasa kwanini unakuwa na vichat chat vinavotia mashaka
Badilika asee kama ww ni ME kweli MAN UP!!!
Hapa watu tuna mawindo yetu tusije tukakupitia
Me & KeWewe ni KE??
Wewe ni KE???
Sio unajitesaUsifanye hivo bibie utanitesa!
Kulikoni?
Teh!leo uwanja wetuLeo tunatumia kimalkia au kinyerere?
Kabla hujafanya biashara kujiweka kwanza kuwa wewe una ujuzi wa asilimia 50 katika kuendesha ulichoanzisha, kama ninhotel uwe na ujuzi kidogo wa kupika hata uko kosa mpishi utaingia mwenyewe jikoni.Mtaji sio dili!!
Mabadiliko Na mambo yasiyotarajiwa yakiikumba biashara yako vipi utawaweka sawa watu wako ktk timu yako ili waendane Na Hall bila kuathiri tija ya biashara!?
muosha rungu
Wewe ni KE??Leo tunatumia kimalkia au kinyerere?
Mbona mimi mjomba wako hujanitaja???[emoji32][emoji32][emoji32]Shunie linamo emmyta cab ney sakayo joseverest numbisa tukutane saa 10 wapendwa
I miss you baby.Teh!leo uwanja wetu
Ni kinyerere tu
Baba yako naweza kuwa KE?Wewe ni KE??
Katika shughuli zako kwa siku nn malengo yako hasa kazi watu au hisia zako?Kabla hujafanya biashara kuwekewa kwanza kuwa wewe una ujuzi wa asilimia 50 katika kuendesha ulichoanzisha, kama ninhotel uwe na ujuzi kidogo wa kupika hata uko kosa mpishi utaingia mwenyewe jikoni.
Uwe pia na uwezo wa kusikiliza shida za wafanyakazi na kutafuta ufumbuzi pia uwe na siri atakae kueleza shida yake kwani ukiwa boss ni kama mzazi