Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Communication ndiyo inatushinda binadamu Leo mume amekuudhi unamnunia na yeye anajiona mpweke kwanini arudi nyumbani akawe miserable anatafuta pankufurahi. Tuwe wawazi zaidi kwacwenza wetu.
Umekimbia kaswali kamoja hapo!
Malezi bora unayohakikisha wanao hawayakosi ni yepi!?kwa vipi wewe ni mama bora!
Je upo tayari kuishi Na mtoto Wa mumeo asio wako kwa upendo kama mwanao Wa kuzaa!?

muosha rungu
 
Communication ndiyo inatushinda binadamu Leo mume amekuudhi unamnunia na yeye anajiona mpweke kwanini arudi nyumbani akawe miserable anatafuta pankufurahi. Tuwe wawazi zaidi kwa wenza wetu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…