Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Siasa kwako ina umuhimu wowote!?
Laiti ungechaguliwa kuwa rais Wa nchi yetu ya Tanzania kwa masaa 2 ungefanya uamuzi gani Wa manufaa?

muosha rungu
Ningepambana na maadui wa watano kwanza wa binadamu, elimu, afya, njaa, makazi na mavazi

Kila kijiji listen mwalimu mkuu ambae ana degree anaweza kuleta mabadiliko ya elimu

Kitu o cha afya cha kijiji kifanye kazi masaa 24

Ma wana shamba field wakae miezi 3 na wananchi

Kila mtu atakatwa 10% ya mauzo ya mazao tujenge nyumba bora kwa kila mwanakiji
 
Ndani ya masaa 3!!okay!
Unachagua kuishi awamu IPI
Kikwete au Magufuli,kwanini

muosha rungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…