Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Hakuna mjomb asante kwa msamaha
Pale unapotaka usipitweee na replay....
673382b087eac8dbd3038f20bdd4e94e.jpg
 
Siasa kwako ina umuhimu wowote!?
Laiti ungechaguliwa kuwa rais Wa nchi yetu ya Tanzania kwa masaa 2 ungefanya uamuzi gani Wa manufaa?

muosha rungu
Ningepambana na maadui wa watano kwanza wa binadamu, elimu, afya, njaa, makazi na mavazi

Kila kijiji listen mwalimu mkuu ambae ana degree anaweza kuleta mabadiliko ya elimu

Kitu o cha afya cha kijiji kifanye kazi masaa 24

Ma wana shamba field wakae miezi 3 na wananchi

Kila mtu atakatwa 10% ya mauzo ya mazao tujenge nyumba bora kwa kila mwanakiji
 
Ningepambana na maadui wa watano kwanza wa binadamu, elimu, afya, njaa, makazi na mavazi

Kila kijiji listen mwalimu mkuu ambae ana degree anaweza kuleta mabadiliko ya elimu

Kitu o cha afya cha kijiji kifanye kazi masaa 24

Ma wana shamba field wakae miezi 3 na wananchi

Kila mtu atakatwa 10% ya Mauro ya mazao tujenge nyumba bora kwa kila mwanakiji
Ndani ya masaa 3!!okay!
Unachagua kuishi awamu IPI
Kikwete au Magufuli,kwanini

muosha rungu
 
Back
Top Bottom