Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Atakujibu mkuu inabidi Uwe unam quote ili aone swali lako

muosha rungu
anachagua... sio lazima kumquote hata ukipost bila kumquote ataona kwa kuwa hii ni interview yake..

Mshauri aangalie maswali asichague anakatisha tamaa watu inaonekana anajibu maswali ya "watu wake"

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Ole wako ukatize kichumini kwetu
Utanizuilia kwa wapi wakati hamjaweka geti?
upload_2017-9-13_21-2-42.jpeg
 
anachagua... sio lazima kumquote hata ukipost bila kumquote ataona kwa kuwa hii ni interview yake..

Mshauri aangalie maswali asichague anakatisha tamaa watu inaonekana anajibu maswali ya "watu wake"

Sent from my iDevice using Tapatalk
Acha wivu ww mtoto mzuri

Mbona mm hujanibu??? Ke o Me??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna Bwege mmoja anag'ang'ania (anawashwawashwa) kuuliza jinsia za watu....nahisi anatumwa na Sky.....kujua ukiwa ni jinsia Me, basi majibu yako yanatupwa kapuni....!!

Nimebaini jambo hili...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anachagua... sio lazima kumquote hata ukipost bila kumquote ataona kwa kuwa hii ni interview yake..

Mshauri aangalie maswali asichague anakatisha tamaa watu inaonekana anajibu maswali ya "watu wake"

Sent from my iDevice using Tapatalk
Nope!! Comrade!
Hujui pressure and restless unapokuwa unajibu lundo la maswali!
Nasisitiza muwe mnam qoute!

muosha rungu
 
Back
Top Bottom