Ahahahaaaaaa na nilimpata age mate wangu sergio 5 [emoji28][emoji28][emoji28]Ahahaha hamna kipenzi sijauona kabisa huo uzi ahhaha kwahiyo Ney we na Auntie yangu kumbe ndio wale wale tumeamka salama kipenzi hofu kwako tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Miaka 18,single na haujawahi kuolewa wala kuzaa. Usichana hoyeeeeeee!
Akuu nyie mloamua kuzeeka zeekeni tu, mie sizeeki mtoto wa watu.Mbona sisi tuna 55 auntie jaman msisimamishe umri sio vizuri mjue
Hoyeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Miaka 18,single na haujawahi kuolewa wala kuzaa. Usichana hoyeeeeeee!
Yaani hadi fundi wa gauni nilikuwa nishamuandaa, nikapiga simu sehemu ya honey moon, ghafla mchumba akatoweka ktk mazingira ya kutatanisha.Ahahahah ulitaka kuwolewa aunt Jose nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mnataka kugundua nini jaman na kusimamisha umriAkuu nyie mloamua kuzeeka zeekeni tu, mie sizeeki mtoto wa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani isingekuwa Joseverest tangu jana ningekuwa double ila kanirudisha kwenye usingle[emoji57]
Ahahahah josse sio mtu mzuri kabisa au anataka kukuwowa yeyeYaani hadi fundi wa gauni nilikuwa nishamuandaa, nikapiga simu sehemu ya honey moon, ghafla mchumba akatoweka ktk mazingira ya kutatanisha.
Hatujasimamisha umri, ndio umri wetu huo mama. Pole we kama umezeeka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mnataka kugundua nini jaman na kusimamisha umri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatjasimamisha, ndio umri wetu huo mama. Pole we kama umezeeka.
Nimemuonya, akirudia tena namuoa kwa lazima.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu muonye banah, yaan work done is equal to zero???
Kwanini asiolewe antiyako mtoto mdogo kabisa tatizo José sio mtu mzuri kamuharibia mwenzie [emoji26]Ahahahah ulitaka kuwolewa aunt Jose nae
We muache tu, akiniharibia tena ajiandae tu.Ahahahah josse sio mtu mzuri kabisa au anataka kukuwowa yeye
Kuwolewa kwa lazima sipati picha kama namuona na ile avatar yakeNimemuonya, akirudia tena namuoa kwa lazima.
Cc Joseverest
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwanini asiolewe antiyako mtoto mdogo kabisa tatizo José sio mtu mzuri kamuharibia mwenzie [emoji26]
Si ndio hapo sasa, mtoto wa watu bado mbichiii alafu jose ananiharibia mipango mikakati!!Kwanini asiolewe antiyako mtoto mdogo kabisa tatizo José sio mtu mzuri kamuharibia mwenzie [emoji26]
Haikuwa poa sanaSiwaelewi mnajua Niyombare Na jose mnalaumu tu bila kuweza kutetea mnachokilaumu hebu tusaidieni basi!!!!!!
muosha rungu