Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Amuulize stable woman anafatwa kwenye uzi mwingine twende kule kwakl ukanijibu maswali yako alikoma dada wa watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki ya Mungu nilicheka sana shunie, yaan Joseverest ni kiboko. Dada wa watu akifika anamuuliza ni swali gani na gani sijajibu kaka anaanza upya ujue nilikuwa nacheka sana nilikuwa nafanya kuwafatilia tuu jf raha sana
 
wazee watam bwana wee hata ukikutana nae hakatz kushika simu yako uchat kidg !khaaa hv vitoto sasa vinakupokonya hd simu fyuuuuu eti tu uko nae! kazi kulamba lips tu na kupiga selfie !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shout out for wazeeee!!
Akupokonye simu alafu alipie bills basi!! Yaani simu akupukonye na pesa ya vocha bado aombe, si unamtandika makofi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…