Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Nafikiri hao wanajua kuhudumia na sio kupeti peti
Maana kama wangekuwa wanajua kupeti peti wanawake wenye umri Mkubwa wasingekuwa wanatafuta vi Ben10
Wanaotoka na viben ten ni vile hawajajua tu namna ya kuwatumia wazee bwana, hawajui nini wanataka. Ila mie najua nini nataka ninajituliza tuliiii napetiwa tu.
 
Sijifariji dogo, sema we ubishi na ulalamishi vipaji vyako ngoja nikubali yaishe. Sawa mtoto mzuri eeh!
Hamna cha ubishi wala ulalamishi...Tatizo ni kuwa unataka uwaaminishe wewe ni BINTI KIGOLI kumbe ni KIKONGWE, AJUZA a.k.a AGE GO!!!!

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
hahahahahhaha ! we unaagza sminorf ya 3000/ kenyewe kanaulizia mzinga mzima wa hennessy ! unajikuTa unamvuta sikio bila kupenda!ova kanalipa! yaan natoaje 40000/kwa mfano? fatisha ninachoagiza nikiagiza smirnfof blak ice we agiza BALIMI
Hahahaaaa!! Sio unafugwa alafu unaleta jeuri.
 
Hamna cha ubishi hapa ni kweli...wewe ni age go unatafuta mzee ukampuzikie ili akiaga dunia urithi pesa na mali zake huna lolote...

Tuache vijana tule maisha

Sent from my iDevice using Tapatalk
Ohoooooo!! Kumbe!
Basi sawa ngoja nikukubalie usije anza ulalamishi na kuniandama kwenye nyuzi zingine nikubali mimi ni mzee.
Sawa mwanangu, mimi ni mzee. Sawa toto juli eeeh!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe kawaida yake kwenda kinyume cha matukio, ndio maana kanikomalia mimi 40+ wakati mtoto wa watu 20 tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaotoka na viben ten ni vile hawajajua tu namna ya kuwatumia wazee bwana, hawajui nini wanataka. Ila mie najua nini nataka ninajituliza tuliiii napetiwa tu.
unataka pesa za watu tu hamna cha kupetiwa wala nini

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Back
Top Bottom