MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Something is wrong somewhere!!
Interview yako lini sasa ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Something is wrong somewhere!!
Kwanini tena baby wangu?Baby wewe ndio wa kunifanyia hivyo? nimebadilika wapi..
Yaani jana kuhoji kutojibiwa maswali ndio mnahisi nimebadilika..msinifanyie hivyo
Sent from my iDevice using Tapatalk
Anhaa, hapo sawa Baby kwa maana nahisi mnanisema kimafumboKwanini tena baby wangu?
Ooh pole sio wewe mpz ni muingiliano wa story tuu waweza hisi ni wewe, lakini tulikuwa tunamzungumzia mbiti Yaan toka ampate Ben 10 wake msukuma amebadilika sana, not you my baby
My kaka mie tayari mbona siku nyingiiiiii.Interview yako lini sasa ???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Marahaba mnasema nyie wa bara...
Sie wa baharini tunasema mahabaa afu bibie alipaswa anijibu "niue"
Hunter tutambulishane aiseeh kumbe jirani yangu Neybright.Anhaa, hapo sawa Baby kwa maana nahisi mnanisema kimafumbo
Espy anapenda ligi sijui kwa nini yaani??
Sent from my iDevice using Tapatalk
Jirani hata mimi nilikuwa huko juu nikasikia celebrities wanashuka nami ndio maana sahivi nimeng'ang'ania 13yrs tu sipandi si shuki.Mie mwenyewe nimegoma kupanda 20, nitashuka mpaka nifike 13 kama kichwa kichafu jirani yangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Si nimekukubalia lakini au kuna kingine unatafuta!!!Anhaa, hapo sawa Baby kwa maana nahisi mnanisema kimafumbo
Espy anapenda ligi sijui kwa nini yaani??
Sent from my iDevice using Tapatalk
Hahahaaaaa!! Ninakwambia mama something is wrong somewhere, nashukuru nawe umenote hilo.Kwanini tena baby wangu?
Ooh pole sio wewe mpz ni muingiliano wa story tuu waweza hisi ni wewe, lakini tulikuwa tunamzungumzia mbiti Yaan toka ampate Ben 10 wake msukuma amebadilika sana, not you my baby
[emoji12] [emoji12]we jamaa niaje embu fata yako..Mimi sio KE ni ME
Sent from my iDevice using Tapatalk
Embu achana nae,Anhaa, hapo sawa Baby kwa maana nahisi mnanisema kimafumbo
Espy anapenda ligi sijui kwa nini yaani??
Sent from my iDevice using Tapatalk
Mbona umejibu kwa hasira mkuuwe jamaa niaje embu fata yako..Mimi sio KE ni ME
Sent from my iDevice using Tapatalk
Hahaha wala hata..nimependa kuchangia tu kwenye uzi wakoSi nimekukubalia lakini au kuna kingine unatafuta!!!
Naona umeanza kufukua nyuzi zangu, kazifukue zote usisahau hata moja.
Sawa mtoto mzuri eeh!!!!
Alinikera ndio maana aseehMbona umejibu kwa hasira mkuu
nimemuacha baby worry outEmbu achana nae,