Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Baby wewe ndio wa kunifanyia hivyo? nimebadilika wapi..

Yaani jana kuhoji kutojibiwa maswali ndio mnahisi nimebadilika..msinifanyie hivyo

Sent from my iDevice using Tapatalk
Kwanini tena baby wangu?
Ooh pole sio wewe mpz ni muingiliano wa story tuu waweza hisi ni wewe, lakini tulikuwa tunamzungumzia mbiti Yaan toka ampate Ben 10 wake msukuma amebadilika sana, not you my baby
 
Anhaa, hapo sawa Baby kwa maana nahisi mnanisema kimafumbo

Espy anapenda ligi sijui kwa nini yaani??

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Vipi michapio?? Maana mama ya dilido anamichapio ya funga mwaka[emoji3][emoji3]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Anhaa, hapo sawa Baby kwa maana nahisi mnanisema kimafumbo

Espy anapenda ligi sijui kwa nini yaani??

Sent from my iDevice using Tapatalk
Si nimekukubalia lakini au kuna kingine unatafuta!!!
Naona umeanza kufukua nyuzi zangu, kazifukue zote usisahau hata moja.
Sawa mtoto mzuri eeh!!!!
 
Kwanini tena baby wangu?
Ooh pole sio wewe mpz ni muingiliano wa story tuu waweza hisi ni wewe, lakini tulikuwa tunamzungumzia mbiti Yaan toka ampate Ben 10 wake msukuma amebadilika sana, not you my baby
Hahahaaaaa!! Ninakwambia mama something is wrong somewhere, nashukuru nawe umenote hilo.
 
Si nimekukubalia lakini au kuna kingine unatafuta!!!
Naona umeanza kufukua nyuzi zangu, kazifukue zote usisahau hata moja.
Sawa mtoto mzuri eeh!!!!
Hahaha wala hata..nimependa kuchangia tu kwenye uzi wako
 
Back
Top Bottom