Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Unajua maana ya tusi?
kuna tusi nimempa?

bahati mbaya vitu anavyotetea havijui hana tofauti na bendera inafwata upande wa upepo unapovuma

Yaani umejiandika kabisaaaaa
Eeeh acha wivu.. unajijua huna nondo.
Kaa uendelee kusubiri ofisi zikifunguliwa ndio ukae nje ya majengo kuvizia zilizo wazi uingie humu kusoma.
 
Nipe viashiria viwili vilivyo kuonyesha namchukia? kumkosoa ndo chuki?

siku nyengine usiniquote kwa akili yako me naweza kumtongoza cocochanel nimekosa mwanamke wakumtongoza kweli? bora nimtongozee kichaa kulipo huyoo.

Eeeeeeeeh
Ila unanifatilia na kupenda kunisoma ninayoandika.. ha ha haa kumbe ndio maana unajua ukichaa ukoje
 
Bimkubwa umeamkaje?


Hii umepost saa tatu asubuhi...serious kabisa???

Yaani umeamka na kuingia online kuchat na shoga zako...hahaahahaa, really??

Bado mnalalamika maisha magumu?? Nimekuambia nikuoe utulie ndani umeendelea kufuatana na hawa shoga zako.

Ninawaza kwa sauti tu hivi huwa mnasoma ata financial times, the eastafrican, guardian au ata risasi hahahahahahaha

Hivi unajua ata ripoti iliyotolewa na DSE leo????

Mnahitaji maombi asee hahahahaaha

Yaani umeamka na kuanza kusukana na bado nakuambia nikuoe unazingua..hahahahahahha

Pole sana
 
Unamtia makwenzi tu awe na adabu.


au unamfinya shavu km mama zetu walivyokua wanatufinya anakuwa na adabu ful! kuna mdada mmoja namfaham aliwah toka na serengeti mpk leo anajuta! kale kajank kanamfata had job kanaomba gari kakatanue mjin !uwiii nafwa mie! aliharibu sana maisha yake !
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu anauliza hadi ambayo yalishaulizwa, ilimradi tu aulize. Na usopojibu subiri malalamishi sasa[emoji85] [emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakwambia ina mana maswali yangu huyaoni au dharau
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki ya Mungu nilicheka sana shunie, yaan Joseverest ni kiboko. Dada wa watu akifika anamuuliza ni swali gani na gani sijajibu kaka anaanza upya ujue nilikuwa nacheka sana nilikuwa nafanya kuwafatilia tuu jf raha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ney ulikua kama mimi
 
Back
Top Bottom