Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hamna cha ubishi hapa ni kweli...wewe ni age go unatafuta mzee ukampuzikie ili akiaga dunia urithi pesa na mali zake huna lolote...Wanaonijua akina neybright ndio wanakwambia alafu unajitia ubishi, kumbe hivi ni vipaji vyako eeh!!
Tuache vijana tule maisha
Sent from my iDevice using Tapatalk