Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kiben10 hakina hela kwani??Hahahaaaa!! Umeanza kuniharibia eeh!!
Sasa kiben ten chenyewe msingi wake mchuzi wa pweza, wa nini huyo mimi!!
We njoo ununue bwana, kujifanya ujuaji utaachwa shaurilo!!Pweza, karanga na mihogo kwani nimekwambia SIPO FITI??[emoji35]
Sent from my iDevice using Tapatalk
acha kujifariji wewe AGE GOAaah kabisa, mbichiiiiiiii.
Wanaonijua akina neybright ndio wanakwambia alafu unajitia ubishi, kumbe hivi ni vipaji vyako eeh!!wasiokujua labda ndio wataingia KINGI
Sent from my iDevice using Tapatalk
Tatizo ni wewe sio mimiTatizo ulikuwa wewe bwana, mtoto anatafuta baba.
Acha uongo mimi najua kuwa wewe ni daktari wa kutibu binadamu au la kama siyo upo ktk sekta ya afya. Hapo huchomoki.1. Ninalipa nauli ya wa kubwa nikisafiri
2. Sina taaluma Mimi ni mbangaizaji tu mjini.
3. Mimi ni mke wa Aspirin
4. Watoto ninao wengi kidogo
Khaaah!! Hiyo ni umeweka kama avatar au ni kitu gani? Mbona banned na upo humu!!!!Nini tena shunie [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mbona tunatishana dogo
Wewe ndio nakuamini huyo espy kikongweMwambie tumepishana kwa miaka 2 tuu
18 kwa 20
CCM tena??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sema huwa sifuatilii sana, humu ndio nimemuona na msururu wa maswali yake kama ahadi za ccm.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Interview ikiisha yeye ndio huwa anajitokeza
Ni avatar tu bibie espyKhaaah!! Hiyo ni umeweka kama avatar au ni kitu gani? Mbona banned na upo humu!!!!
huyu bibi espy anapenda pesa balaaIli akifa aache mali.[emoji23]
Azitoe wapi anategemea kufugwa tu.Kiben10 hakina hela kwani??
Sent from my iDevice using Tapatalk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shout out for wazeeee!!
Akupokonye simu alafu alipie bills basi!! Yaani simu akupukonye na pesa ya vocha bado aombe, si unamtandika makofi tu.
Sijifariji dogo, sema we ubishi na ulalamishi vipaji vyako ngoja nikubali yaishe. Sawa mtoto mzuri eeh!acha kujifariji wewe AGE GO
Sent from my iDevice using Tapatalk
Pole ila ukome na wewe, si uchombeze jukwaani tuu mambo ya pm ni nini sasa, embu ona yamekuponzaNilimfata espy pm ndo kaenda nishitaki [emoji81] [emoji81] [emoji81].
Yaani bado kabisaaaa.Haaaa ata kwa kwa chumvi hujawai kuliwa
Haya.OMG miaka 20 utakuwa wewe hapo ongezea 25 mingine ndio useme hivyo labda
Sent from my iDevice using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu anauliza hadi ambayo yalishaulizwa, ilimradi tu aulize. Na usopojibu subiri malalamishi sasa[emoji85] [emoji85]
Yaani najuta kabisa ila nw nishapata funzoPole ila ukome na wewe, si uchombeze jukwaani tuu mambo ya pm ni nini sasa, embu ona yamekuponza