Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Nakara[emoji15] [emoji15]
Hapo ndo home kabisa[emoji23] [emoji23]
Ulikuwa unafata nini kote huko
Aiseeee, hali ya hewa ni nzuri balaa kiukweli mazingira ni mazuri mnoo..... Hongeraa jamanii!!!

Ilikuwa ni utalii wa ndani tu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Aiseeee, hali ya hewa ni nzuri balaa kiukweli mazingira ni mazuri mnoo..... Hongeraa jamanii!!!

Ilikuwa ni utalii wa ndani tu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ooh karibu Tena. Huku mjini tunatafuta pesa tu[emoji23] [emoji23]
 
Hakuna tatizo pm mods wameondoka nayo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja ikifika usiku wa manane ndio nitakufungikia maana kuku watakuwa washalala

jf usiku wa manane nitaweka ujumbe wako umo.

Ila nataka nikutumie picha pm ili ujue niko siriazi fungua basi!!!!!!!
 
Umemuona Jose kwenye uzi wa faida?
Hayo malalamiko sio ya nchi hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
He has to work on dat aiseee, its too much for a man. Analalamika sana huyu mwanao.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
He has to work on dat aiseee, its too much for a mana. Analalamika sana huyu mwanao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Haki kanishinda tabia ujue, sijui kapatwa na nini jamani
 
Ngoja ikifika usiku wa manane ndio nitakufungikia maana kuku watakuwa washalala

jf usiku wa manane nitaweka ujumbe wako umo.

Ila nataka nikutumie picha pm ili ujue niko siriazi fungua basi!!!!!!!
Ongea na mods[emoji23] [emoji23] wameondoka na pm yangu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom