Aiseeee, hali ya hewa ni nzuri balaa kiukweli mazingira ni mazuri mnoo..... Hongeraa jamanii!!!Nakara[emoji15] [emoji15]
Hapo ndo home kabisa[emoji23] [emoji23]
Ulikuwa unafata nini kote huko
Hakuna tatizo pm mods wameondoka nayo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimwage mchele kwenye kuku wengi?haijakaa powa
Sijajua ni wapiii ila ni mitaa hiyo ya ile njia ya asubuhi!!!!Huko ndo kwa miss chaga[emoji15]
Ooh karibu Tena. Huku mjini tunatafuta pesa tu[emoji23] [emoji23]Aiseeee, hali ya hewa ni nzuri balaa kiukweli mazingira ni mazuri mnoo..... Hongeraa jamanii!!!
Ilikuwa ni utalii wa ndani tu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
OoohSijajua ni wapiii ila ni mitaa hiyo ya ile njia ya asubuhi!!!!
Asante my wiiOoh karibu Tena. Huku mjini tunatafuta pesa tu[emoji23] [emoji23]
Ngoja ikifika usiku wa manane ndio nitakufungikia maana kuku watakuwa washalalaHakuna tatizo pm mods wameondoka nayo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umemuona Jose kwenye uzi wa faida?
Hayo malalamiko sio ya nchi hii
Hahahaaa! Swahiba mtoto kigori mie, mbichiiii only 20.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huutaki tena ukongwe swahiba[emoji134] [emoji134]
Salama kabisa bibi, huko 40+ kunasemaje?[emoji23][emoji23][emoji23]Kigori habari yako[emoji23] [emoji23]
Marangu, kuzuri kwakweli, kumetuliaaa, kijaniii, hali ya hewa yakushawishi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulikuwa unapita kwenda wapi wii[emoji15] [emoji15]
Nami nataka mwaliko jamani.Aiseeee
Nina mwaliko hukooo December kwa miss chaga
Ooooh kumbe!!Nakara[emoji15] [emoji15]
Hapo ndo home kabisa[emoji23] [emoji23]
Ulikuwa unafata nini kote huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
He has to work on dat aiseee, its too much for a mana. Analalamika sana huyu mwanao.
Najua mpz, just kiddingNiko poa mamy[emoji28] [emoji28]
Afu hiyo siyo wewe
Ongea na mods[emoji23] [emoji23] wameondoka na pm yangu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Ngoja ikifika usiku wa manane ndio nitakufungikia maana kuku watakuwa washalala
jf usiku wa manane nitaweka ujumbe wako umo.
Ila nataka nikutumie picha pm ili ujue niko siriazi fungua basi!!!!!!!
Doh basi sawa swahiba[emoji23] [emoji23]Hahahaaa! Swahiba mtoto kigori mie, mbichiiii only 20.
Huku kuko poa mie na shunie tunalea wajukuu tu hapa[emoji23] [emoji23]Salama kabisa bibi, huko 40+ kunasemaje?[emoji23][emoji23][emoji23]