Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Niwaze nini na ubonge huu jaman Mungu kanipa mwili acha nijilie tu mie hapa kwangu kitu kinachoitwa diet naugomvi nao mkubwa sanaHahaha
We unawaza kula tuu sio!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niwaze nini na ubonge huu jaman Mungu kanipa mwili acha nijilie tu mie hapa kwangu kitu kinachoitwa diet naugomvi nao mkubwa sanaHahaha
We unawaza kula tuu sio!!!!
UmeonaeeOoooh ni zile sikukuu za kuchinja mbuzi, basi sawa auntie. Utanisimulia namna sikukuu ilivyonoga.
Muosha naniliu abadili tu ujue kaiba ya watuSijui ka aliiba au ilitokea tu wakawa nazo wote
Haya bhanaaNiwaze nini na ubonge huu jaman Mungu kanipa mwili acha nijilie tu mie hapa kwangu kitu kinachoitwa diet naugomvi nao mkubwa sana
Woyoooooooooo dada [emoji134] [emoji134] mkungu veep jamaanHaya bhanaa
Tukutane December kitu cha Marangu
Si utachukua hiyo December au???Woyoooooooooo dada [emoji134] [emoji134] mkungu veep jamaan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niwaze nini na ubonge huu jaman Mungu kanipa mwili acha nijilie tu mie hapa kwangu kitu kinachoitwa diet naugomvi nao mkubwa sana
Usinifanyie hivyo ujue jaman ebu fanya tu ukuje [emoji134] [emoji134]Si utachukua hiyo December au???
Hiyo nimehairisha mama.Umeonaee
Ile ya kuhesabiwa itabidi nami nipewe namba aisee, ko umeahirisha au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kile kipaji kina wenyewe mambo ya kuniambia usiku nilalie matunda woiiiiii na usingizi sitapata kwa njaa itakayoniuma jaman tuwaachie wenyewe tu na kipaji chao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Diet ni kipaji mama.
Kuna rafiki yangu aliniambia amekata shauri kuwa atakonda mbinguni na wamuache!! Nilicheka sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kile kipaji kina wenyewe mambo ya kuniambia usiku nilalie matunda woiiiiii na usingizi sitapata kwa njaa itakayoniuma jaman tuwaachie wenyewe tu na kipaji chao
Ahahahahhah me auntie yangu ni kibonge sana tunamwambia basi jipunguze kidogo fanya diet manyama nyama punguza kula anatujibu ili weje naomba mniache tu Mungu ana makusudi yake kuniumba hivi siwezi mkosea nikajipunguza mbona nyie hamfanyi diet na mna mwili pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna rafiki yangu aliniambia amekata shauri kuwa atakonda mbinguni na wamuache!! Nilicheka sana.
Hahahaaaaa!! Eti Mungu ana makusudi yake. Kujifariji nayo muhimu as ukiichukulia too serious inaweza kukutesa kisaikolojia ukajikuta unapata maradhi mengine.Ahahahahhah me auntie yangu ni kibonge sana tunamwambia basi jipunguze kidogo fanya diet manyama nyama punguza kula anatujibu ili weje naomba mniache tu Mungu ana makusudi yake kuniumba hivi siwezi mkosea nikajipunguza mbona nyie hamfanyi diet na mna mwili pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa diet wafanye wenye vipaji vyao jaman me acha nijilie tu kwakweliHahahaaaaa!! Eti Mungu ana makusudi yake. Kujifariji nayo muhimu as ukiichukulia too serious inaweza kukutesa kisaikolojia ukajikuta unapata maradhi mengine.
Kwakweli nikisoma comments zake naishiwa pozi sio yeye kabisa nakubaliana na weweNahisi sio yeye kabisaa, sio kwa kulalamika kule halafu hamalizi
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kwakweli nikisoma comments zake naishiwa pozi sio yeye kabisa nakubaliana na wewe
Aisee...huyu jamaa jana hata mimi kanishangaza sana sio kawaida yake. Kwenye interview ya miss natafuta kaingilia mahojiano mwanzo mpaka mwisho hadi host akajitoa! Ilibidi nimwambie kwanini unavuruga utaratibu kuwa host next time.Hii account nahisi ilidukuliwa, tizama hata hoja utagundua zina utofauti mnooo.
Hakuwa mlalamishi, very discent, hana fujo, matured.
Something isnt right here.
Changamoto ni kuwa nilizoea kuishi peke yangu na nilikuwa na spare room ya kuweka viatu na hand bags sasa ku adjust life kuwa inabidi kuwe na space ya nguo za mwenzako lakini katika mapenzi yanawezekana. Ilibidi niachane na vitu vingi nilivyodhani ninavihitaji mwanzoni.Katika watu nawasoma lakini siwaelewi ni pamoja na wewe Sky Eclat. Uko na tricks nyingi ila upo smart sana, halmashauri ya ubongo wangu imeshindwa kabisa kuelezea wewe ni aina gani ya mwanamke.
Mimi napenda maswali ya jig-jig.
1. Umesema ulimpata mwenza wako jf, ni changamoto zipi ulipitia hadi mkafunga pingu?
2. Wanasema eti kutoa tunda kabla ya kufunga pingu ni vibaya, kwako unalichukuliaje?
3. Kuna wakati, hasa wanawake mnakuwa off mood kwenye suala la kumpa mume utram, kwako ni vipi? Unaweza kumpa mume mavituz hata kama hujisikii?
Jibu straight, najua utaanza siasa weye!!
Nililiona hilo mapema sana, kuanzia ile siku analilia avatar yake, nilikuwa na wasi wasi kabisaa sio Jose wa kuwahi nafasiKwakweli nikisoma comments zake naishiwa pozi sio yeye kabisa nakubaliana na wewe