Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Wakati spidi ya kuendelea kusukuma guruduni Na maendeleo ikishika kasi,katika mjumuiko Wa kufukuzia tonge,sisi ndimu nzima ya DJ sepetu show,inaendelea kukupunguzia hasira,uchovu,Na mfadhaiko Wa kimaisha Na kimahusiano kwa kuhakikisha kuwa tunayafanya yaliyo magumu kuwa mepesi mfano Wa karatasi.

Kazi yetu Na jukumu letu ni kuisuuza nafsi yako kwa elimu-burudani isiyo Na kiingilio!

Siku zote tunasema kuwa,dunia sahani pakua ukitakacho! Kwa kurahisisha hilo jf wametoa majukwaa kadhaa,thanks!
Hivyo kama hujisikii kuchangia waweza pita vile tu!![emoji117] [emoji117]

Mida ya saa kumi Na nusu jioni ya Leo,tunayofuraha kumleta Na kumkaribisha mtu muhimu jf mwite,"Sky Eclat"

Welcome all!
DJ sepetu
Regards.

muosha rungu
 
Narudia tena kama huna swali la kuuliza nyuzi hii huruhusiwi kupiga stori na mtu asiyehusika mara mambo huyu powa watu tunakosa umakini na kujua dj sepetu kaauliza nini na muulizwaji kajibuje. Mods piga ban wasumbufu wote kwenye hizi interview.
 
Back
Top Bottom