Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kiherehere saa kumi bado haijafika!![emoji32]1. Ninalipa nauli ya wa kubwa nikisafiri
2. Sina taaluma Mimi ni mbangaizaji tu mjini.
3. Mimi ni mke wa Aspirin
4. Watoto ninao wengi kidogo
Hii sio ya kukosa
Narudia tena kama huna swali la kuuliza nyuzi hii huruhusiwi kupiga stori na mtu asiyehusika mara mambo huyu powa watu tunakosa umakini na kujua dj sepetu kaauliza nini na muulizwaji kajibuje. Mods piga ban wasumbufu wote kwenye hizi interview.
Hii sio ya kukosa
Afu leo tunatumia lugha yetu pendwa
Waite na masuitors wangu NIYOMBARE na Gentries
Wengine ki-Commonwealth hakipandiHii sio ya kukosa
Afu leo tunatumia lugha yetu pendwa
Tunaipenda zaidi unayoenda kutumia leo🙂Wengine ki-Commonwealth hakipandi
Duh mbona uko moto sana1. Ninalipa nauli ya wa kubwa nikisafiri
2. Sina taaluma Mimi ni mbangaizaji tu mjini.
3. Mimi ni mke wa Aspirin
4. Watoto ninao wengi kidogo
Mamy niko siti ya mbele kabisa[emoji23] [emoji23]