Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Sky Eclat live show with Dj Sepetu a.k.a Muosha Rungu....8 minutes remain...[emoji342] [emoji343] [emoji350] [emoji489]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tom and jery, my favourite cartoons.
Nilishafika mkuu ila sipo kule juu kama ulivyozoeaNimekuja mbio kukushikia siti kumbe umeshafika dah..!
Nipoupo??
Sawa muosha masufuria cc mwifaFourth ilani:Sky Eclat atakuwa ana like maswali kabla ya kujibu ili yaonekane mapema.
muosha rungu
Jamani hiyo lugha!Did anyone see dark angel anywhere??
Mmmh. HayaA Na B yote majibu
muosha rungu
Uh!! Rafiki umeanza visingizio eeh!!Subira yavuta heri, order ya kindoo kidogo inachukua muda kwa Babu Issa.
Kama ni hivyo basi mwanafunzi wa roho mbaya kamzidi mkufunzi wake.
Hii interview imebidi nijitokeze kwa sababu na mimi Maskani ni kwa Mtogole karibu kabisa na Sky Eclat
Teh teh..Mkuu amewahi kukufanyizia nini??
Umefikiri nje ya box kabisaBabe,hizi ilani ungeziweka kule kwenye intro.
Usimulaamu sana kuna Ke moja mpya humu ina avata kama yako, sasa chali zinamchanganyaana mambo ya kingese na utoto mwingi kudadeki zake
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Kuna tatizo kwani?Jamani hiyo lugha!
NamtatuaHahaha ajiloge tu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Utaniita majina yote mwaka huu[emoji134] [emoji134] [emoji134]Bwana weeee, huyu tunajuana. Eti anajiita Mama ubaya sijui Bi Mkora?
kwema????Nipo
Mwifwa kalambwa ban, sijui tatizo niniSawa muosha masufuria cc mwifa