Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kumsahau mjomba ni tabia mbaya!Nilikusahau mjomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumsahau mjomba ni tabia mbaya!Nilikusahau mjomba
Hahahaha [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] Mbona hasira hivo mtoto mzuriMaadam ulishapitiwa, nshajua we ni shoga. Nasikitika nimepoteza muda wangu na mabwabwa....
Usihangaike kuniquote, sitaona ulichoandika maana nshakuadd kwenye Ignore List yangu...
Kule nimekujumuisha na mashoga wenzako mkapambane na hali zenu...
Siku ukiacha ushoga unambie nikutoe kwenye hii list...
Rest in Hell...
[emoji137]
Alikuja at the right time na ninafurahia kila dakika uwepo wakeHeko!
Kwann ulikubali kuolewa Na mumeo!
Nn kilikuvuta kwake, his uniqueness
muosha rungu
[emoji137] [emoji137]Shem cuzoo wangu yuko wapi? ?
Muda ndo huu[emoji28] [emoji28]
Mwambie majina yamekatiwa Insurance hayo.Naveen na Nareen
Nakuona nakuona...Jamaan halaf mbona nimefanana nae [emoji134] [emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja amaliziee kupikaa make nikimruhusu now naona kupika itakuwaa saa 5 usikuu
...
Eti ni sie tuliokimbia lugha ya malkia jana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Dada akee kwani huyo ni mimi
Wewe ni KE ila unajificha [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]ME.
Unatafuta KE wenzio?
Babe ukimaliza interview unipitie hapa church nafundisha vijana wa viwawa kwaya....Ninapenda kusaidia sana project za kanisani na ewenye shida. Ninapenda pia vitu vizuri sijisahau mimi mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we baba jamanShem unaonaa leo lugha pendwa[emoji87] [emoji87]
Na jana kajifanya anakanda andaz nimezipenda nimemwambia na leo afanye hivo....
Nisamehe mjombaKumsahau mjomba ni tabia mbaya!
Mie tayari nilishasailiwa mkuu.Sawa keshokutwa naomba niwe host wako tafadhali...niku interview
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
AiseeeeAlikuja at the right time na ninafurahia kila dakika uwepo wake
Asante mkuuAiseeee
Hilo jibu limeenda shule, hongera
Analijua hilo sema anajisahaulisha tuuMwambie majina yamekatiwa Insurance hayo.
Na ntakuwa nakuja kila siku...Alikuja at the right time na ninafurahia kila dakika uwepo wake