Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Umesema mimi ungemweka kidogo ambaye sijafanana naeKwan nimesema huyu nan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema mimi ungemweka kidogo ambaye sijafanana naeKwan nimesema huyu nan
Utombo kivipi???[emoji13] [emoji13] [emoji13]Umeuliza nimekujibu kuwa Mimi ni me, bado huamini ama unataka kuliwa utumbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una twins? Yaan nawapenda kila siku nasali uzazi wangu ujao nipate pacha[emoji120] [emoji120]
Acha mambo ya kisho...ga basi.
Mungu akusaidie hitaji la moyo wako dearUna twins? Yaan nawapenda kila siku nasali uzazi wangu ujao nipate pacha
Ameen mamiiMungu akusaidie hitaji la moyo wako dear
Aisee
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Pole mdogo wangu.Hua unajua kunionea mm tu, sawa mm shoga
Wewe ni KE??Kwan nimesema huyu nan
Ukiwlewa thamani yako ambayo Mungu amekupa utakuwa mwepesi kuachana na mtu asiyekupenda awe mume au rafikiUmeacha swali hapo juu!
Unafanya nn ikiwa unayempenda labda hata rafiki hakupendi?
muosha rungu
Hahaha[emoji13] [emoji13] [emoji13] Hujaninjibu bado ww ni KE??
na unaomba upewe taraka kwanini mtoto mzuri??
Au jamaa ni kibamia[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mungu ni mwaminifu mamy, nawe utajaaliwa tuuUna twins? Yaan nawapenda kila siku nasali uzazi wangu ujao nipate pacha
Pole mdogo wangu.
Ila usipende kuingilia mambo ya watu
Yameisha.!
Ameen dearMungu ni mwaminifu mamy, nawe utajaaliwa tuu
Sawa!Ukiwlewa thamani yako ambayo Mungu amekupa utakuwa mwepesi jua hana na mtu asiyekupenda awe mume au rafiki
JF ni family nimempata mume JF na marafiki wengi tu ambao tunaendelea kuwasiliana nje ya JFSawa!
Tangu ujiunge jf je umefanikiwa kujenga urafiki Wa kudumu kiasi cha kutoka nje ya jf!?
Ni marafiki gan,ukiwataja hapa?
muosha rungu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] jf!JF ni family nimempata mume JF na marafiki wengi tu ambao tunaendelea kuwasiliana nje ya JF
Heshima kwako mkuu.Sawa Baba Wengeer