Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Kila zama zina mapungufu na unafuu wake kwakweli kati ya hizi mbili no comment kheri enzi za mwalimu labda kwakuwa nilikuwa mdogo

Mzee wetu hakuwahi kutuangusha...
upload_2017-9-13_19-6-40.jpeg
 
Umeogopa madongo!
Kulingana Na ratiba Na shughuli zako kwa sasa,unajiona wapi miaka 5 ijayo?

muosha rungu
Kama mambo yatakwenda vizuri kama milivyopanga baada ya miaka mitano nitakuwa kwenye makazi yangu ya ndoto na biashara zitakuwa zinanipa pesa ya kula bila kuumiza kichwa kazi yangu itakuwa kufanya mazoezi na ibada na kula vizuri
 
Ningepambana na maadui wa watano kwanza wa binadamu, elimu, afya, njaa, makazi na mavazi

Kila kijiji listen mwalimu mkuu ambae ana degree anaweza kuleta mabadiliko ya elimu

Kitu o cha afya cha kijiji kifanye kazi masaa 24

Ma wana shamba field wakae miezi 3 na wananchi

Kila mtu atakatwa 10% ya mauzo ya mazao tujenge nyumba bora kwa kila mwanakiji
Ahsante
 
Kama mambo yatakwenda vizuri kama milivyopanga baada ya miaka Milano nitakuwa kwenye makazi yangu ya ndoto na biashara zitakuwa zinanipa pesa ya kula bila kumi za kichwa kazi yangu itakuwa kufanya mazoezi na ibada na kula vizuri
Mwisho kabisa hobbies zako Sky Eclat ni zipi!
unapenda kutembelea nchi gani?
Unakasirishwa haraka Na nini?

muosha rungu
 
Mwisho kabisa hobbies zako Sky Eclat ni zipi!
unapenda kutembelea nchi gani?
Unakasirishwa haraka Na nini?

muosha rungu

Ninapenda sana kusoma na kuujaza ubongo wangu na information kila siku, ninasoma marida ya field yangu ambayo ninayapata kila baada ya wiki mbili, kusoma Bible, na kwenda sehemu takatifu kama Bethlehem, Fatima, Rome, na kwingineko.

Mimi si mwepesi kukasirika.
 
Back
Top Bottom