Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Ninapenda sana kusoma na kujua za ubongo wangu na information kila siku, ninasoma mahari said ya field yangu ambayo ninayapata kila baada ya wiki mbili, kusoma Bible, na kwenda sehemu takatifu kama Bethlehem, Fatima, Rome, na kwingineko.

Mimi si mwepesi kukasirika.
Thanks, you may now take audience questions!

muosha rungu
 
Ninahudumia watu lakini si fani ya udaktari
kule kwenye jukwaa la JF Doctor huwa nakuona unasaidia watu..inamaanisha una uelewa kidogo wa mambo haya sio??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
kule kwenye jukwaa la JF Doctor huwa nakuona unasaidia watu..inamaanisha una uelewa kidogo wa mambo haya sio??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

We charii bhana, unaumwa kumbe?

njoo pm
 
Back
Top Bottom