Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Are you fine! How is the air here!

muosha rungu

Eeeeeh
Poa poa
Sina la kusema.. naona yangu itakuwa ya dk 2 na maswali machache zaidi.. itaishia pg ya 3.. sababu sina mengi mimi ya kuongelea kabisa.. Nimekuja kusoma nikafikiri nitakuta pages zimejaa maswali na majibu naona asilimia kubwa ni story za wengine.. unajua zile za kama watu wamekutana kijiweni na kunogewa kuongea.
 
15.jpg
Babu mbona hii kama Marangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom