Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Nimecheka aisee kwahiyo humu kumbe wote vibibi gagula tu kama sie linamo
Yani we acha mbona wazee tunahesabika huku.
Antonia hajapitia interview aone watu wana 20-25[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asiwaite wazee kiukweli anawakosea sana[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Ebhu nenda mapema make hapa interview ikianza najua huendiii

Si unamwona linamo
65d0056b82a64c2065a49f964cd014d2.jpg
Hahaaaaa uwiiii siwezi pitwa na umbea bora iwe hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yani we acha mbona wazee tunahesabika huku.
Antonia hajapitia interview aone watu wana 20-25[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asiwaite wazee kiukweli anawakosea sana[emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom