Sky Sports News Watupiga Spana Japo Wengi Wanaona ni sifa

Sky Sports News Watupiga Spana Japo Wengi Wanaona ni sifa

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Mwaka huu kumekuwepo na mjadala wa uraia pacha ila ilipokuja issue ya AFCON kuna baadhi wa wachezaji hata haifahamiki wametoka!!.

POINT: Kuna mchezaji anacheza team ya daraja la tano huko uingereza kuja kucheza kombe kubwa la mataifa ya Afrika.

Soma mwenyewe hapo 👇🏾
Screenshot_2024_0117_222342.jpg
 
Mwaka huu kumekuwepo na mjadala wa uraia pacha ila ilipokuja issue ya AFCON kuna baadhi wa wachezaji hata haifahamiki wametoka!!.

POINT: Kuna mchezaji anacheza team ya daraja la tano huko uingereza kuja kucheza kombe kubwa la mataifa ya Afrika.

Soma mwenyewe hapo [emoji1484]
View attachment 2874885
japo anacheza non league matches lakini uwezo wake ni mkubwa sana,ni kwavile tu game plan ya kwanza haikuenda sawa,mbona haji mnoga alicheza vizuri naye pia anatoka non league team
 
japo anacheza non league matches lakini uwezo wake ni mkubwa sana,ni kwavile tu game plan ya kwanza haikuenda sawa,mbona haji mnoga alicheza vizuri naye pia anatoka non league team
Huo uwezo uliuona wewe tu au ndiyo ile formula yetu wachambuzi na watazamaji wanajua mpira kuliko kocha aliyemtoa out of the pitch ndani ya muda mfupi sana wa mechi?.
 
Sasa mtu anauwezo asichukuliwe kisa yupo Daraja la 5?
Hakuna aliyesema asichukuliwe, swali linabaki pale juu, Je Sky Sports News wametuoiga spana au ndiyo kumpiga chura teke..?.

Kumbuka pia wamewaambia mmeweka historia.
 
hio habariri walimalizia kwa kuandika 'we know who is pride'
 
Back
Top Bottom